Baba yeyote anaejitambua hana furaha ya maisha,hana muda wa kupumzika.Mara nyingi anakua hana marafiki,maana ratiba inabana sana.Unatoka kazini unawahi nyumbani kuzijibu kero za watoto walizo toka nazo shule (home works), then unazijibu za mama yao pasipo kujali makwazo uliyo toka nayo kazini.Mungu kaa nasi sisi wababa.