Unaona hapo juu nimekupiga thanks na mie pia niwekee thanks hapo chini...............
Ah sasa mbona unasema asante tu weka thanks hapo chini.......
The following users .............say thank you to .... for the following useful post (hii nayo imekopi users lukuki).
Nini mtazamo wa kawaida kwa watu wanaopenda kugongewa na kujigongea thanks kwa kucopy???