Thank you so much Dear Ex

Asante sana, saafi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure bro nakubaliana na ww 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nasubiri matokeo ya form six 2014 nilienda kuishu kwa bro wangu mitaa ya kinyerezi mwisho.Nilikaa kwa bro kwa miezi 3 yeye anamke na mtoto mmoja..sasa katika ule mtaa kulikua na manzi mmoja mpole sana kipindi hiko yupo kidato cha nne katika shule ya sekondari kinyerezi.

Yule manzi alikua mkali sana akawa anakuja home pale yeye na rafiki zake watatu nikawa nawafundisha..wenzie walikua micharuko balaa ila yeye alikua mpole na urafiki ulikuepo kwa kua walikua wanasoma shule moja na kukaa mtaa mmoja...baada ya matokeo kutoka na kupata chuo nikaondoka kwa kaka yangu.2015 nikarejea likizo nikamkuta yule manzi kumuuliza matokeo akasema amefeli amepata zero na wale rafiki zake wawili walipata 3 na mmoja 4.Nikampa tu pole tukaanza uhusiano taratibu ukweli alinisumbua yule manzi kuapata Uchi wake.

2017 nilipomaliza chuo nikawa nimepanga G/mboto hapo nikafanikiwa kula uchi na kwakuwa nilikuta yuko bikra nikazama mazima akawa sehemu ya maisha yangu mpaka bro zangu na mama yangu walimjua na alipendwa kwa upole wake na sikufichi manzi alikua mtu wa kanisani sana.Kwa muda wote sikuwahi hata kumuhisi kuwa ni mdangaji wa hatari.

2018 bro alihama kinyerezi akahamia kwake hivyo rasmi nikawa siendi tena kinyerezi...Siku moja yule manzi akja home akaniambia anaona siku zake hazioni na hajielewi nikajaribu kumuhoji akawa kweli ana dalili za mimba(japo nilijuliza maswali amepata vipi maana hatukufanya siku ya hatari na mbegu zote nilitoa nje).Baada kuona nambana akawa amechukia akondoka kw hasira(kwa mara ya kwanza nikaona hasira yake).Nikampigia tukayamaliza akaniomba pesa akatoe maana baba yake mkali kwa kusita sana nikampa elfu 70(50 ya daktari na 20 yake).

Hilo likapita mwaka jana sasa mimi nilienda kuishi mbeya kwa muda wa miezi 7 kuna shuguli ilinipeleka,niliporudi nikawa na hamu ya mpenzi wangu nikamwita,,,akaja home lakini nikaona simwelewi tumbo haliko sawa nikamuuliza mbona kama una mimba alikataa katakata,mwishowe nikala mzigo ila bado akili ikawa inanituma ni mjamzito..alikaa home siku 5 kila nikimuuliza kwenu umeagaje ananiambia nimuachie yeye...Baada ya hapo akaondoka zake.Sasa siku moja nilikutana na shoga yake mpya ambaye aliwahi nitambulisha kuwa dada yake(hapa alidanganya) ukiachana na wale wa mwanzo.

Katika stori nikajaribu kumchokonoa aisee wanawake wambeya sana aliyamwaga yote..kwanza alisema manzi ni mjamzito na mimba yake ina miezi 5,pia anaishi na bwana boda boda na kwao ametoroka ana mwaka hajaonekana...zile taarifa zilinichanganya sana ukizingatia ni mtu amabaye akiwa kwangu ni mpole na mtu wa imani sana.Nikataka kuthibitisha zile taarifa ikabidi anioneshe chating zao pia akaniambia hata ile mimba ya mwanzo hakua na mimba bali alitaka kunipiga na siku aliyekuja kwangu mwenzie alimuuliza kuwa nikijua kua ana mimba itakuaje akamjibu "kichumvi ni bwege tu yule hajui chochote na kwangu hapindui" nikaoneshwa na chating zake..ukweli nilijisikia vibaya sana ukicheki nilikua najitahidi kumjali kwa uwezo wangu.Nilipo mwita kumuhoji akakataa kata kata nikamwambia twende tukapime ndo tutaelewana tukapima HIV(neg) mimba ikasoma (+ve).Ile siku tukavurugana japo si sana nikamwambia arudi kwa bwana ake uhusiano umekufa.

Baada ya siku 4 napigiwa simu na shoga yake kua ameharibu mimba ana hali mbaya hospital na bwana wake hana hela ya kusafisha aliniomba sana niwasaidie maana ni hatari ikabidi niende kweli nilikuta ametoa mimba nikasaidia pesa ili asafishwe..pale nikapata mapya kuwa demu anafanya kazi bar pia na bangi anavuta(ukiangalia hata midomo ilikua inaonesha) na alikua mlevi sana..tulipomshauri arudi kwao alikataa..hapo nikawaacha nikaondoka zangu baada ya wiki mbili nikapigiwa simu na yule best yake wanataka msaada maana wameenda kumuombea msamaha kwao wamefukuzwa kama mbwa.nikaona wanaleta mazoea nikapiga block wote kiufupi sikutaka kujua tena stori zao.

NDUGU YANGU MWANAMKE ANAWEZA AKAWA MCHAFU SANA ILA BADO AKAWA ANA IGIZA MTIIFU SANA KWAKO ILA UKIJA KUGUNDUA UTACHOKA.
Nasubiri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi katika umri wa chuo unadirikije kua na mausiano ya kimapenzi yaliyosirious? Unajua kabisa ukimaliza bado unayo miaka si chini ya mitatu ukiwa unasaka chapa..mtoto gani wa kike atakusubiri na akuvumilie kwa wakati huu?

Kama unarohoo ya kupenda basi usiwe na wivu..chapa na uvumilie unapochapiwa; mimi rohoo ya kupenda nimeanza kua nayo baada ya kuoa lakini kabla ya hapo hapana kwakweli.
 
For those who dont believes hali ikoje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…