...and that is exactly what is going on in our beloved country. It is a consolidation of power by this dictator uchwara.
inamhusu baba J hii
Ndiyo sababu nimeiweka kwenye hili jukwaa letu mwanana. Sasa dikteta kanuna kusikia Lissu anagombea nafasi ya juu ya uongozi TLS. Si ajabu akaifuta TLS au wakafanya uhuni wao na kuzifanya nafasi zote za uongozi TLS kuwa za kuteuliwa na Dikteta na Mwanasheria Mkuu nchini.
Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari wengi wana njaa kali, hawana maadili wananunuliwa ku report...wote tunafahamu hii..jamaa wanakufuata ofisini wanakwambia wanayo habari inayokuhusu, uwape 10M ili isiwe published alafu leo unataka kunishawishi kuwa tunahitaji hiko kikundi kwa maendeleo ya taifa? You can as well go to hell
Hukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?Ufisadi wote nchini kuanzia rada, EPA, escrow, kagoda, meremeta, mv ufisadi ya bilioni 8, lugumi, IPTL, kiwira coal mining, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Richmond/Dowans etc Watanzania tusingejua details za ufisadi wote huu kama si juhudi za magazeti mbali mbali nchini ambayo yaliamua kuvalia njuga na kuanika ufisadi wa kutisha dhidi ya Taifa letu
Leo hii wanatishwa sana na hata kuitwa wachochezi! Yapo magazeti uchwara ambayo hukurupuka lakini mengi yanafanya kazi nzuri sana ya kutuhabarisha Watanzania ndani na nje ya nchi.
Thank you!Hukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?
Hukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?
Hukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?
Vyombo vyako vya habari vitakuwaje wakweli kama wewe mwenye hutaki kuwapa habari na pia hata ukiwapa unawapa zisizo za kweli. Capacity ya kila kitu haijijengi inajengwa. Sasa katika hali ya kawaida taasisi ya serikali inawezaje kuwazuia waandishi wa habari kufika sehemu fulani.Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari wengi wana njaa kali, hawana maadili wananunuliwa ku report...wote tunafahamu hii..jamaa wanakufuata ofisini wanakwambia wanayo habari inayokuhusu, uwape 10M ili isiwe published alafu leo unataka kunishawishi kuwa tunahitaji hiko kikundi kwa maendeleo ya taifa? You can as well go to hell
BAK, achana na hayo malimbukeni...ni hayo hayo taratibu yanatulelea dikteta bila kujua madhara yake. Yalichagua hovyo na siku yakianza kutendewa hovyo tusiyasikie yakilialia hovyo. Sidhani hata kama yanaelewa ni aina gani ya shetani yanalilea hadi siku litakapoanza kuyatafuna!Wewe unachekesha kweli! Uandike kuviponda vyombo vya habari vya bongo kishakugeuka na kuvisifia! Talking with both sides of your mouth!
Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari
BAK, achana na hayo malimbukeni...ni hayo hayo taratibu yanatulelea dikteta bila kujua madhara yake. Yalichagua hovyo na siku yakianza kutendewa hovyo tusiyasikie yakilialia hovyo. Sidhani hata kama yanaelewa ni aina gani ya shetani yanalilea hadi siku litakapoanza kuyatafuna!
How about a corrupt press that answers only to sectoral interests? A student of history should know that dictators have always bought their own press. The hsrdworking Senator is disgruntled because he lost to Obama, then tried to stop Mr. Trump, then lost again.