BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,332
- Thread starter
- #21
Ahsante sana Mkuu kwa bandiko lako zuri kuhusu huyu jamaa kuwa tishio kubwa duniani.
Tizo: fuatilia press conf za DT kisha ndio uweze comment. Republicans siwakubali lkn wenzetu wamestaarabika. Mbichi wanaziita mbichi na hakuna kuremba. DT ni tishio la free world na inasikitisha sana kuona chaguzi zinazaa rais kimeo