Thank you Senator Mccain

Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari wengi wana njaa kali, hawana maadili wananunuliwa ku report...wote tunafahamu hii..jamaa wanakufuata ofisini wanakwambia wanayo habari inayokuhusu, uwape 10M ili isiwe published alafu leo unataka kunishawishi kuwa tunahitaji hiko kikundi kwa maendeleo ya taifa? You can as well go to hell
 
manenu
Ndiyo sababu nimeiweka kwenye hili jukwaa letu mwanana. Sasa dikteta kanuna kusikia Lissu anagombea nafasi ya juu ya uongozi TLS. Si ajabu akaifuta TLS au wakafanya uhuni wao na kuzifanya nafasi zote za uongozi TLS kuwa za kuteuliwa na Dikteta na Mwanasheria Mkuu nchini.

maneno huumba, anaweza
 
Ufisadi wote nchini kuanzia rada, EPA, escrow, kagoda, meremeta, mv ufisadi ya bilioni 8, lugumi, IPTL, kiwira coal mining, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Richmond/Dowans etc Watanzania tusingejua details za ufisadi wote huu kama si juhudi za magazeti mbali mbali nchini ambayo yaliamua kuvalia njuga na kuanika ufisadi wa kutisha dhidi ya Taifa letu

Leo hii wanatishwa sana na hata kuitwa wachochezi! Yapo magazeti uchwara ambayo hukurupuka lakini mengi yanafanya kazi nzuri sana ya kutuhabarisha Watanzania ndani na nje ya nchi.

Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari wengi wana njaa kali, hawana maadili wananunuliwa ku report...wote tunafahamu hii..jamaa wanakufuata ofisini wanakwambia wanayo habari inayokuhusu, uwape 10M ili isiwe published alafu leo unataka kunishawishi kuwa tunahitaji hiko kikundi kwa maendeleo ya taifa? You can as well go to hell
 
Ufisadi wote nchini kuanzia rada, EPA, escrow, kagoda, meremeta, mv ufisadi ya bilioni 8, lugumi, IPTL, kiwira coal mining, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Richmond/Dowans etc Watanzania tusingejua details za ufisadi wote huu kama si juhudi za magazeti mbali mbali nchini ambayo yaliamua kuvalia njuga na kuanika ufisadi wa kutisha dhidi ya Taifa letu

Leo hii wanatishwa sana na hata kuitwa wachochezi! Yapo magazeti uchwara ambayo hukurupuka lakini mengi yanafanya kazi nzuri sana ya kutuhabarisha Watanzania ndani na nje ya nchi.
Hukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?
 
Thank you!
 
Wewe unachekesha kweli! Uandike kuviponda vyombo vya habari vya bongo kishakugeuka na kuvisifia! Talking with both sides of your mouth!

Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari

Anayetia pamba masikioni ni dikteta uchwara angalia lugumi hata kuitaja anaogopa, angalia rushwa ya milioni 10 aliyoitoa kwa Wabunge wapiga madili wa MACCM! Ili wapitishe muswaada wake uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini. Kama anataka vyombo vya habari viwe huru na kufichua uozo mbali mbali kwanini anaminya uhuru wao ambao wamekuwa nao kwa miaka mingi sasa!?

Hukusikia kipindi cha sakata la flow meter bandarini rais alivyosifia gazeti moja kufichua ule uozo? Hukusikia pia alivyoshawishi outlets nyingine kuiga? Au kwenye habari kama hizo huwa mnatia pamba masikioni?
 
(CNN)Sen. John McCain slammed President Donald Trump's attacks on the media this week by noting dictators "get started by suppressing free press."
It was a startling observation from a sitting member of Congress against the President of the United States, especially considering McCain is a member of Trump's party.

"I hate the press," the Arizona Republican sarcastically told NBC News' Chuck Todd on "Meet the Press." "I hate you especially. But the fact is we need you. We need a free press. We must have it. It's vital."
But he continued,

"If you want to preserve -- I'm very serious now -- if you want to preserve democracy as we know it, you have to have a free and many times adversarial press," McCain said in the interview. "And without it, I am afraid that we would lose so much of our individual liberties over time. That's how dictators get started."

A clip of the interview, which airs in full on Sunday, was released Saturday afternoon.

McCain has been a frequent critic of the President, particularly in the areas of foreign policy and national security, since before Trump entered the White House.

The 2008 Republican presidential nominee said Americans must pay attention to history to understand the past connections between leaders of oppressive governments and efforts to stifle the media.
"They get started by suppressing free press, in other words, a consolidation of power -- when you look at history, the first thing that dictators do is shut down the press," McCain said. "And I'm not saying that President Trump is trying to be a dictator. I'm just saying we need to learn the lessons of history."

Trump tweeted Friday that CNN and other major media outlets were "the enemy of the American people."

CNN contributor Carl Bernstein, who won the Pulitzer Prize for his reporting on the Watergate scandal, which led to the resignation of President Richard Nixon, called Trump's words "treacherous."
"The most dangerous 'enemy of the people' is presidential lying -- always," he tweeted. "Attacks on press by @realDonaldTrump more treacherous than Nixon's."
 
Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari wengi wana njaa kali, hawana maadili wananunuliwa ku report...wote tunafahamu hii..jamaa wanakufuata ofisini wanakwambia wanayo habari inayokuhusu, uwape 10M ili isiwe published alafu leo unataka kunishawishi kuwa tunahitaji hiko kikundi kwa maendeleo ya taifa? You can as well go to hell
Vyombo vyako vya habari vitakuwaje wakweli kama wewe mwenye hutaki kuwapa habari na pia hata ukiwapa unawapa zisizo za kweli. Capacity ya kila kitu haijijengi inajengwa. Sasa katika hali ya kawaida taasisi ya serikali inawezaje kuwazuia waandishi wa habari kufika sehemu fulani.

McCain ameongea vizuri hapo, unaweza ukawa huipendi media na ukaichukia lakini kiukweli unahitaji media ili kufikisha mipango na mikakati yako kwa watu wako. Kuna mambo hayatakiwi kutugawa kabisa ni basi tu binaadam tupo tofauti sana. Kimsingi mtu unayejiamini na kujua kila ukifanyacho ni haki na ni haki kweli, why uwe na wasiwasi jambo hilo kuwafikia wananchi wako?

Simple logic ni kwamba ukiona mtu mambo yake hataki yawe communicated au exposed kwa watu, tafsiri yake hayo mambo sio mazuri kwa watu. Kwamba anachokifanya ni against na matakwa ya watu, otherwise ufiche nini na unajua hivyo ndivyo kitu kilivyo? Sisemi kwamba Serikali isiwe na mambo yake ya siri, la hasha ila isiweke barrier kati yake na watu.
 
Hili zee mnalishukuru la nini. Lina chuki za binafsi kwa Trump. Bifu yao iko kwenye ungo. Hizi liki za kumchimba Trump na kupeleka umbea linahusika mara nyingi. Nuksi kweli hili jamaa uzalendo limeweka nyuma.
Lina usongo wa kukosa uraisi. Halikutoa ushirikiano kwa Obama sasa liko mstari wa mbele kumchimba Trump.
 
Tizo: fuatilia press conf za DT kisha ndio uweze comment. Republicans siwakubali lkn wenzetu wamestaarabika. Mbichi wanaziita mbichi na hakuna kuremba. DT ni tishio la free world na inasikitisha sana kuona chaguzi zinazaa rais kimeo
 
Wewe unachekesha kweli! Uandike kuviponda vyombo vya habari vya bongo kishakugeuka na kuvisifia! Talking with both sides of your mouth!

Tatizo la vyombo vya habari vya wenzetu ni wamezidi kuwa wakweli.... na tatizo la vyombo vya habari vya kibongo, wamezidi kuwa waongo...leo unasema hivi kesho wame twist maneno vile...waandishi wa habari
BAK, achana na hayo malimbukeni...ni hayo hayo taratibu yanatulelea dikteta bila kujua madhara yake. Yalichagua hovyo na siku yakianza kutendewa hovyo tusiyasikie yakilialia hovyo. Sidhani hata kama yanaelewa ni aina gani ya shetani yanalilea hadi siku litakapoanza kuyatafuna!
 
Shukrani sana Mkuu Mag3 nimekuelewa Mkuu.

BAK, achana na hayo malimbukeni...ni hayo hayo taratibu yanatulelea dikteta bila kujua madhara yake. Yalichagua hovyo na siku yakianza kutendewa hovyo tusiyasikie yakilialia hovyo. Sidhani hata kama yanaelewa ni aina gani ya shetani yanalilea hadi siku litakapoanza kuyatafuna!
 
How about a corrupt press that answers only to sectoral interests? A student of history should know that dictators have always bought their own press. The hsrdworking Senator is disgruntled because he lost to Obama, then tried to stop Mr. Trump, then lost again.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom