Thank You GOD...........Today Is My Day.

Happy birthday nduki napokea mwaliko Sina kikwazo wala tatizo la Kula na kunywa

Hahahaa broh mshana jr nimeipenda hii kiongozi.

Sasa mkuu kama kuna vileo vya asili na kitimoto haiwezi kuleta shida wangu wa kazi...?.

Miss you sooo much broh.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday nduki

Thanks a lot mkuu. Nafurahi sana kuona this is your first post laf post ya kwanza tu imekuja kwangu. Am sooo lucky today. Thanks mkuu.
 
Hahahaaa. Leo mi niko sehem nanyonya tu maziwa si unajua mtoto mchanga yake maziwa mkuu. Lol.

Unanitamanisha mkuu..ngja nami nichakarike...soon ntaanza kujinyonyea kiulaiiiin...teh.
 
Unanitamanisha mkuu..ngja nami nichakarike...soon ntaanza kujinyonyea kiulaiiiin...teh.

Hahahaaa, lakini unyonye maziwa ya chupa mkuu usinyonye kinginecho kiongozi...!
 
haaha usijal..najua boss wangu kwa uzoefu wako utanionesha maziwa sahihi...

Hahahaa, wee jamaa bhana. Unaweza ukaoneshwa maziwa sahihi halaf ukatoka nduki mkuu.

Ngoja atakuonesha maziwa sahihi ila uskimbie tu na hiyo kazi nampa mtu mmoja anaitwa Rakims.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, wee jamaa bhana. Unaweza ukaoneshwa maziwa sahihi halaf ukatoka nduki mkuu.

Ngoja atakuonesha maziwa sahihi ila uskimbie tu na hiyo kazi nampa mtu mmoja anaitwa Rakims.

Haaha Mkuu mbele ya utamu ni kukamatia, hakuna kukimbia...

Ebu Rakims kuja huku unioneshe maziwa sahihi...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…