- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza kuuzwa madukani hivi karibuni.
Ma Star wengi leo wamekabishiwa rasmi makopo hayo yenye majina yao ambayo ni mfano wa makopo ya soda zitakazoanza kuuzwa madukani hivi karibuni, baadhi ya Ma Star waliopewa makopo hayo leo ni pamoja na Mshindi wa Big Brother Idriss, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Martin Kadinda na Le Mutuz Nation.
- Naomba again kuwashukuru sana wapenzi wangu wengi hasa wa hapa JF haya yasingewezekana bila ya nyinyi and I mean it nawashukuru sana from the bottom of my soul, thank you JF hasa Celebrity Forum na I am humbled sana!!
hivi ww Le mutuz wenzako ndan ya ccm wanandoto yakuwa viongoz wakubwa kweny this nation ww unaprogress kujisifia kisa Lembululaz kaapia kweny coce..??!!ss cc machalii unatufunza nn mkuuuu?
hivi ww Le mutuz wenzako ndan ya ccm wanandoto yakuwa viongoz wakubwa kweny this nation ww unaprogress kujisifia kisa Lembululaz kaapia kweny coce..??!!ss cc machalii unatufunza nn mkuuuu?
- I am The King Of All Bongo Social Media Network the making of my own hands and brain, I make money and I do have fun with my life and I do not give a damn about somebody else life I care only my own happiness ok!!
ww king gani?kingdom or empire gani unamiliki?umri wote huo ndo unatafta ucelebrity ulikuw wap?huu ni mda wakupokea mafao ww ndo kwanzaaaa upo kweny stage yakukua...

Sijamuelewa huyu jamaa mbona kila mtu jina lake litakuwepo ina maana watanzania wote ni ma star hebu kachambe vizuri chooni mana ma star wameisha View attachment 219274
- Cocacola wenyewe wametoa makopo kwa Mastar, lakini hata wewe unaweza kuwaomba wakakutengenezea mimi sikuwaomba ndio tofauti ya mimi na wewe sawa hahahahahahah umeumia inaonekana duh kopo tu!!
- Tuliza boli kubali yaishe hawa ni cocacola sio kampuni ya Togwa kule kwenu, hawa ana kitengo cha utafiiti hii practice imeanzia UK na USA na sasa imefika bongo wamefanya utafiiti ukaonyesha I am The King of All Bongo Social Media sasa wewe unabakia kugugumia na bado utanisoma sana si niliwaambia mtanisoma tu mpaka muingie kaburini mazafantazzz hahahaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.