Thank you Chelsea!

Status
Not open for further replies.
Wow!

Matatizo yapo haijalishi ukubwa wa timu. You really made my day boys.

At last we did it.

Valencia 1 Chelsea 2
Liverpool 0-1 Marseille

Kipofu kaona njia....
Kiziwi kasikia...
Shetwabi kaitwa Mbinguni...
Wat m trying to say ni kuwa hawa majamaa wamebahatisha tuu ila they have a long way to go hasa tukirudi kwenye premier league even in the champs.league hawataweza fika mbali
 
Bado kuna safari ndefu, Chelsea kaza buti. Najua inakea kuondokewa na kocha mahiri, lakini ndio hivyo tena, komaeni, safari bado ndefu.
 
Rubin Kazan leo....hatuna beki 2 wa kueleweka, Bertran ana flu na Ashley Cole ameumia mguu....sintoshangaa leo akiaza Fereira upande huo ama akacheza David Luiz na kati wakawa John Terry na Ivanovic

Go Go Go Go Go Chelsea
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom