thank god its my birthday

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
186
namshukuru mungu kwa siku ya leo kwani nimeweza kuongeza mwaka katika maisha yangu na pia nawashukuru wana JF na Jf kwa ujumla kwani its part of my everyday life HBD to me!
 
happy birthday mkuu... na bila shaka uitendee haki siku yako maana umezaliwa siku ya wakulima tafuta hata kashamba kadogo uienzi siku hii!!! live long
 
dah mkuu nilikua na kabustani kangu ndo nlikua nakishughulikia siku ya leo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…