Thamani ya Yamoto band

Kama anampango mzuri na hao watoto awape chao wapange na familia zao
 
Nina wasiwasi kama umesoma uzi wangu mpaka mwisho
Nakuuliza tena unafikiri thamani ya Yamoto band ni nini? Na wanatakiwa wafanyiwe nini ili kuendana na thamani utakayo xfactor? Nisome hapa tena
🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑
 
Last edited by a moderator:
Wasanii wenyewe wana mkubal fella..Saiv kajikita katika kusimamia album za wasanii.. wasanii wanampelekea fella album halafu fella anapeleka kwa mhindi
 
Nakuuliza tena unafikiri thamani ya Yamoto band ni nini? Na wanatakiwa wafanyiwe nini ili kuendana na thamani utakayo xfactor? Nisome hapa tena
🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑🔑

Malizia kusoma thread yangu mpaka Mwisho mkuu

Usipopata Jibu basi nitakuwa sina cha kukujibu maana nitakesha kukuelewesha
 
Last edited by a moderator:
Hivi vitoto visipokuwa makini vitapotezwa muda si mrefu mana kuna watu wanajifanya wajuzi kwa kuwa tayari wanajulikana
 
Malizia kusoma thread yangu mpaka Mwisho mkuu

Usipopata Jibu basi nitakuwa sina cha kukujibu maana nitakesha kukuelewesha

Ukiona hadi nachangie ujue nimesha soma thread nzima! Kama uko tayari kwa mjadala jibu maswali niliyo kuuliza..!
Nauliza tena..kwako wewe nini thamani ya Yamoto band na nini viashilizi vya thamani unayo hitaji kuiona wewe? Labda kama una hoja zaidi ya hii na uiweke hadharani....!
 
Naomba uniambie kibaya alicho fanya Fella kwa hawa watoto hadi useme hivi! Unafikiri hawalipwi?

Hakuna kibaya alichofanya na Ndio maana nasema kama umesoma between lines thread Yangu ungeelewa sababu nimempa credit Kwa anayofanya. Lakini hilo halitoshi sababu vijana wana stahili Zaidi ya anachowapa

Kwanini awajengee nyumba? Kwanini asiwape chao wakajenga wenyewe? Na kama anawapa mgao stahiki iweje vijana wakose Gari Mpaka wasubiri Fela ampe Zawadi tena Kwa mbwembwe kwenye media?
 
Kweli nimeani Kinyozi hajinyoi! Fella si alishawahi kutoa Single yake lakini haikuambulia hata kupigwa kwenye TV wala Redio yeyote hapa duniani?
 
Hawako huru vijana mpaka fella afurahi ndio wapewe jasho lao .sikatai yeye ndio kawatengeneza ila hawako huru anatumia vibaya unyonge wao na unaskini wao .mimi naona angekuwa anaweka kati kila wanapo tengeneza hela wanagawana pamoja Nate akiwemo sio kuwapa vitu wasivyo hitaji maana anawalazimisha tu huh no unyonyaji
 
Hivi ni kweli unajua makubaliano ya hawa vijana na Said Fella? Unafikiri hawalipi? Kwanini usifikiri hata swala la kujenga nyumba nalo lilikuwa wazo lao pia?
Hivi kama kweli unasema hakuna kibaya anacho fanya Fella kwanini unaonesha wasi wasi? Ulitaka awape Tsh ngapi ndio uone ame wathamini? Usinge taka kujua kiasi alicho wapa?

Kwanini tuamini kila mtu ni mwizi ikiwa hatuwezi kuthibitisha ni mwizi?
Kuna kuwa na maneno mengi kwakuwa mnafikiri ni wao pekee ndio wana stahili kupata pongezi lakini mnasahau kuna studio,wapiga vyombo na wanao tunga nyimbo nao wanatakiwa kulipwa!

Hakuna atakalo fanya Fella mshindwe kuongea
 

Mkuu hivi una uhakika hizo nyumba hawazitaki kabisa na wana lazimishwa?Kwanini tuamini kila kitu ni wizi? Kwanini tutengeneze maneno pasipo stahili?
 
Wakifulia ,mtasema "oh " Fela angewajengea hata getho!!

kajenga, mnasema bora angewapa hela!

sio kila mtu ana nidhamu ya fedha, hao wanaweza kutapanya ikawa shida badae!!
 
Kweli nimeani Kinyozi hajinyoi! Fella si alishawahi kutoa Single yake lakini haikuambulia hata kupigwa kwenye TV wala Redio yeyote hapa duniani?

Sishangai Said Fella Ku change fani ili atoke_Fid Q!!

aliimba taarabu,bongofleva. au rnb?
 
Mimi sioni baya mtoa mada ni mbinafsi watu Kama huyu akiwa mmbiya wako ktk kampuni lazima kampuni ife!
Kulikua na wakina juma nature TMK FAMILY walipotea kwa mawazo Kama yako.
kuna makubaliano yaliyopo ktk hao watu na meneja wao siyo anaamua meneja bila kuwashirikisha ,na hayo nadhani ndiyo yaliyo leta nyumba hizo.
Note: kipaji cha kuimba nitofauti na kufanya biashara ya mziki , watu wanachanganya nakutolea mfano MUUMINI ALINUNULIWA VIFAA NA MHESHIMIWA FULANI alishindwa kuendesha bend akaludi kuajitiwa kwenye bendi nyingine,vilevile ALI CHOKI ALINUNULIWA VIFAA VYA BENDI NI CHIEF KIUMBE nae chali.
TATIZO NINYI MNACHANGANYA MAMBO NA AU KUTOKUJUA .
Pia jua kua fela anafanya biashara lengo apate faida siyo hasara sasa sioni anapo kosea zaidi mimi nampongeza kwa kuweza kuibua vipaji vile na wengine igeni na siyo kuwa na wivu mmbaya.
Mbona kwenye mpira hamsemi wachezaji wanauzwa na timu inapata pesa
 
Nina wasiwasi kama umesoma uzi wangu mpaka mwisho
Uzi wako umesomwa acha wasiwasi ila ulicho andika ni uchonganishi mtupu. Ana mpa gari kama zawadi siyo malipo. So huwezi kusema gari haina hadhi yake kwa sababu ni zawasi. Zawadi waweza mpa mtu kitu chochote kwa sababu siyo lazima. You get my point.

Hajakatazwa kununua gari yake kwa pesa zake, gari anayoitaka kwa hadhi yake si analipwa kwani unafikiri anafanya kazi bure?
 
Nakuuliza tena unafikiri thamani ya Yamoto band ni nini? Na wanatakiwa wafanyiwe nini ili kuendana na thamani utakayo tena

Mkuu hapa unapoteza tu mda wako! wanachotaka watu hapa ni kuwa madogo wapewe hela wakapige starehe sizizokuwa na maana kwani ni wasanii wangapi wakubwa hapa Tanzania pamoja na kuwa na majina makubwa lakini hawana hata usafiri? mleta thread ni mnafiki flani hvi! nyumba anazo watengenezea raman yake ni raman ya nyumba za diamond!
 
Unavyoongea kwa kujitapa kama kweli vile!
Ile BMW kanunuliwa na marehemu Seki.

Nifah hiyo gari seki aliuza 90m ilikua inauzwa 120m ikakosa mteja arusha ndio ikapelekwa dar kuuzwa so domo aliuziwa n madalali w dar
 
Nifah hiyo gari seki aliuza 90m ilikua inauzwa 120m ikakosa mteja arusha ndio ikapelekwa dar kuuzwa so domo aliuziwa n madalali w dar

Aiseee; halafu nilitaka nikuite basi tu id yako nikawa siikumbuki vizuri.
Haya poa nilisahau kidogo.
 
Aiseee; halafu nilitaka nikuite basi tu id yako nikawa siikumbuki vizuri.
Haya poa nilisahau kidogo.

Kuna mtu ndio alimuuzia seki huku chuga ilikua CMF kma sikosei ndomo kaweka jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…