Thamani Ya X.

Thamani Ya X.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
IMG-20180530-WA0002.jpg
 
Thamani ya x ipo kwenye xmasss tu? [emoji23]

Yes mkuu, yani hapo peke yake ndipo ilipo thamani ya X sehemu nyingine nyumba zinabomolewa X itakuwaje na thamani aisee.
 
Nimecheka jamaani lol. Huyo aliyejibu hapo chini akili yake anaijua mwenyewe. Hahaaaa.
 
Nimecheka jamaani lol. Huyo aliyejibu hapo chini akili yake anaijua mwenyewe. Hahaaaa.

JF is never boring mamiiii.

X haina thamani labda X-mas tu watu wanakula pilau mwaya.

Hahahah.
 
Back
Top Bottom