Thamani ya Sugu na CHADEMA Mbeya yazidi kushuka kwa haraka

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
ule uongo ambao ulikuwa ukienezwa na wanasiasa wa chadema waliozoea siasa za uongo na kuzua maneno leo zimezidi kutumbukia nyongo mkoa mbeya.

Hali hii imebainika tangu ndugu kinana kuwasili hapa jijini mbeya na kulakiwa na maefu ya vijana huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kuisifu ccm na rais kikwete kwa uongozi imara wenye kujali watu wote ikiwa ni pamoja na kuruhusu boda boda kuingia nchini ambazo zimetoa ajila kwa vijana wengi.

Wengi wa vijana wamesikika wakijuta kwanini walimchagua sugu mbunge anayeenda bungeni kwenda kupigana na kuwa mlinzi wa mbowe bungeni kana kwamba walimchague akawakilishe ugomvi na kumlinda mbowe.

Kwa upande wa akina mama na wazee nao hawakuwa nyuma kuwapokea viongozi wa ccm wakiimba nyimbo kadha za kupongeza ccm kwa kuwa chama cha watu,

Mama mmoja alisikika akisema kuwa chama cha wastarabu kinakuja kutusalimu siyo kile chama cha vurugu kile cha mbowe,kwaujumla akina mama hawataki kusikia kitu kinaitwa chadema wakiweka wazi kuwa kila kuliko na uchaguzi akina mama wanapigwa na kuzuiwa kwenda kupiga kura eti kisa watapigia ccm,

Wanambeya walisikika wakisema hivyi sugu kafanya nini wakacheka kwa pamoja na mama mmoja akasema mlichagua sauti za kufoka foka sasa mtakoma.

Lakini kivutio kikubwa ni pale jk alipowasili ilikuwa ni zaidi ya obama watu wameshindwa kujizua na kuruka ruka wakisema mtumishi wetu kaja ndipo kundi kubwa la akina mama likajitokeza wakiimba wimbo wa injili wakisema,"wewe ni mtu wa maana katika dunia hata kama wengine hawakutambui mungu aliyembinguni anakutambua".

kama haitoshi kundi lingine upande wa pili nao wakiimba wimbo wao wakisema" yule tuliyemsubiri amekuja"

Wengi waliendelea kushangilia wakisema sugu hakuna anachofanya karibuni wakombozi, kweli la kuvunda halina ubani sugu kwisha habari yake.
 
Weka picha mkuu. Hao ni lazima watakuwa wamebebwa na mabasi toka Iringa na Sumbawanga. Halafu si mnawalipa? Njaa zimewafurisha hapo si kwa hiari yao.
 
ujue gharama za maisha zimepanda

ugunduzi wa gesi mlisema gharama za m
umeme zitashuka cha ajabu ndio kwanza wamepandisha

tutegemeekupanda kwa industries product.
 
Huo umaarufu wa Sugu ni lini wewe na magamba wenzako mliwahi kukiri kuwa uko?

Hivi ninyi B7 Nape & Mwigulu wamewatoa wapi lakini? Mmezoea uongo na bahati mbaya kila mnachotunga mnakiweka hadharani kama huyu Team Zitto. Shame.
 
ujue gharama za maisha zimepanda

ugunduzi wa gesi mlisema gharama za m
umeme zitashuka cha ajabu ndio kwanza wamepandisha

tutegemeekupanda kwa industries product.

mkuu kwani ulisoma wapi kwani gesi ukishaigundua hata kutumika haijaanza tayari inashusha bei za umeme tumia akili zako vizuri mkuu.
 
Weka picha mkuu. Hao ni lazima watakuwa wamebebwa na mabasi toka Iringa na Sumbawanga. Halafu si mnawalipa? Njaa zimewafurisha hapo si kwa hiari yao.

mkuu kwa mtazamo wako unataka watu watembee kwa miguu toka pande zote za mbeya wakati usafiri upo mbona wewe ukitaka kwenda uyole tu kutokea mama john unapanda gari kwa nini hawa watembee lakini sugu kashuka thamani kabisa atamdanya nani tena.
 
ule uongo ambao ulikuwa ukienezwa na wanasiasa wa chadema waliozoea siasa za uongo na kuzua maneno leo zimezidi kutumbukia nyongo mkoa mbeya.

Hali hii imebainika tangu ndugu kinana kuwasili hapa jijini mbeya na kulakiwa na maefu ya vijana huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kuisifu ccm na rais kikwete kwa uongozi imara wenye kujali watu wote ikiwa ni pamoja na kuruhusu boda boda kuingia nchini ambazo zimetoa ajila kwa vijana wengi.

Wengi wa vijana wamesikika wakijuta kwanini walimchagua sugu mbunge anayeenda bungeni kwenda kupigana na kuwa mlinzi wa mbowe bungeni kana kwamba walimchague akawakilishe ugomvi na kumlinda mbowe.

Kwa upande wa akina mama na wazee nao hawakuwa nyuma kuwapokea viongozi wa ccm wakiimba nyimbo kadha za kupongeza ccm kwa kuwa chama cha watu,

Mama mmoja alisikika akisema kuwa chama cha wastarabu kinakuja kutusalimu siyo kile chama cha vurugu kile cha mbowe,kwaujumla akina mama hawataki kusikia kitu kinaitwa chadema wakiweka wazi kuwa kila kuliko na uchaguzi akina mama wanapigwa na kuzuiwa kwenda kupiga kura eti kisa watapigia ccm,

Wanambeya walisikika wakisema hivyi sugu kafanya nini wakacheka kwa pamoja na mama mmoja akasema mlichagua sauti za kufoka foka sasa mtakoma.

Lakini kivutio kikubwa ni pale jk alipowasili ilikuwa ni zaidi ya obama watu wameshindwa kujizua na kuruka ruka wakisema mtumishi wetu kaja ndipo kundi kubwa la akina mama likajitokeza wakiimba wimbo wa injili wakisema,"wewe ni mtu wa maana katika dunia hata kama wengine hawakutambui mungu aliyembinguni anakutambua".

kama haitoshi kundi lingine upande wa pili nao wakiimba wimbo wao wakisema" yule tuliyemsubiri amekuja"

Wengi waliendelea kushangilia wakisema sugu hakuna anachofanya karibuni wakombozi, kweli la kuvunda halina ubani sugu kwisha habari yake.

ndio mnavyo jifariji? poleni sana mtabaki kujifariji nchi ndio inaondoka,
 
Weka picha mkuu. Hao ni lazima watakuwa wamebebwa na mabasi toka Iringa na Sumbawanga. Halafu si mnawalipa? Njaa zimewafurisha hapo si kwa hiari yao.

Kweli wewe ni bundi! Sasa si mnasema ccm imekwisha huko iringa na swanga wametokea wapi?
 
mkuu upo usemi unasema hivi ukiwa muongo usiwe msahaulifu chadema wanadanya watu halafu wanasahau kama waliwahi kudanya ndiyo maana huyo bavicha kaingia mzima mazia kama pono.
 
mkuu kwa mtazamo wako unataka watu watembee kwa miguu toka pande zote za mbeya wakati usafiri upo mbona wewe ukitaka kwenda uyole tu kutokea mama john unapanda gari kwa nini hawa watembee lakini sugu kashuka thamani kabisa atamdanya nani tena.

Mkuu Mbeya mjini ni Sugu. Na maeneo mengine cdm inashika kasi. 2015 magamba mtaumizwa sana Mbeya. Take my words.
 
Ma ccm yanashindwa kutambua kwasasa watu wanaenda kumshanga rais mharibifu wa uchumi
 
Kweli wewe ni bundi! Sasa si mnasema ccm imekwisha huko iringa na swanga wametokea wapi?

Tena na bundimkubwa. Wote cuf na vyama vingine isipokuwa cdm mlishafunga ndoa ya mitala. Uzuri wake ni kula kwa wajinga ccm kura cdm kwa werevu.
 
Mkuu Mbeya mjini ni Sugu. Na maeneo mengine cdm inashika kasi. 2015 magamba mtaumizwa sana Mbeya. Take my words.

mkuu mbeya mjini ipi unayozungumzia ambayo ni tofauti na ile ambayo mimi nazungumzia lakini kama mbeya ni hii ya mwanjelwa,sokomatola,uhindini na sehemu zingine sugu hana kitu yeye anaweza kufanya vurugu na kushawishi watu wafanye fujo ili ionekane kuwa ni mpambanaji kitu ambacho si kweli.
 
Mabachi mangapi ccm wamekodisha chafari hii kuzoazoa watu kuwapeleka Mbeya? Mwaka huu tutakoma. Vijana wanachotaka ni hiyo pea mnayowapa na chio porojo zenu. Labda chafari hii mtalazimicha kuuita uwanja wa ndege kwa jina lake. Maana hamkochi mbwembwe nyie, halafu chiku ya uchaguzi kuangukia pua.
 
Teh teh, uwöngo na kupamba kwingi! Vipi hakukuwa na pilau hapo? Au kulikuwa na mapesa? Nasikia ccm imeamua mpaka kuvunja sheria za utumishi wa umma kwa kulazimisha watumishi wote waende kumsikiliza kikwete sokoine stadium!
 
Tena na bundimkubwa. Wote cuf na vyama vingine isipokuwa cdm mlishafunga ndoa ya mitala. Uzuri wake ni kula kwa wajinga ccm kura cdm kwa werevu.

Nataka yakumbuke haya majina siku moja nitakwambia kwa nini nimeyataja,marando ,abdala safari, na baregu moto unaokuja sijui kama mtauzima, lazima mle mlo mmoja sacos yenu inakufa.
 
Teh teh, uwöngo na kupamba kwingi! Vipi hakukuwa na pilau hapo? Au kulikuwa na mapesa? Nasikia ccm imeamua mpaka kuvunja sheria za utumishi wa umma kwa kulazimisha watumishi wote waende kumsikiliza kikwete sokoine stadium!

weka uthibitisho acha kulishwa maneno tafuta ukweli ulivyo.
 
Back
Top Bottom