P
Unajaribu kutoka nje ya uzi baada ya kushindwa hoja Haya nitajie nyumba za wachezaji wa yeboyebo zilizopo Dsm.
Kumpeleka mke wangu akasikilizie kitumbo chake Tunisia kuna ubaya gani. Wewe mwenye roho ya kwanini ndiyo tatizo.
Bora watunisia watunyamazishie hawa ndala badae.
Wakishinda watasema eti msuva anamzidi messi
kama yanga anacheza mashindano ya kimataifa basi hamna haja ya kuwa na timu ya taifa na kina coutinho wapewe pass za tz. na ikitokea vita club na tp mazembe wakakutana kwn mashindano ya vilabu barani afrika basi itakuwa ni friendly match
Hivi Msuva si yule kijana Ambaye alikuwa mcheza dansi (mnenguaji) wa THT?? Labda kwenye hiyo bei kuna gharama ya burudani ya viuno na viduku toka kwa mnenguaji Msuva
Umesahau IBRAMOVIC wa psg naye alikuwa Mr Kung Fu.....!
teh teh teh teh!

kwa milioni 700 anafunga magoli wireless au:confused2:??
We jaribu kutoka nje ya mada tu!
Mimi nakurudisha kwenye mstari alafu niendelea kukutia sindano za maumivu ya mwili.....!
Wakati Okwi wako yuko Dar hapa mitaani anatokwa na majasho ya makwapa akizurura.. Wanaume wa nchi yako wako Kimataifa zaid wakiwakilisha.....!
Umesahau IBRAMOVIC wa psg naye alikuwa Mr Kung Fu.....!
teh teh teh teh!
Hivi Msuva si yule kijana Ambaye alikuwa mcheza dansi (mnenguaji) wa THT?? Labda kwenye hiyo bei kuna gharama ya burudani ya viuno na viduku toka kwa mnenguaji Msuva
Acha kuzunguka kote huko... Unapindisha Mada ya mezani.
Mlipeni :-
1.Kessy fedha zake Dola 3500/=
2.Chanongo fedha zake Dola 5600/=
3.Tambwe fedha zake Dola 7000/=
4.Malizieni mishahara ya mwezi uliopita kwa wachezaji ambao hawajapata.
5. Uzeni Klabu yenu kwa BAKHRESAH ili mpate fedha za kununua Msuva.
Nimekwambia mke wa Okwi amekwenda kusikilizia kitumbo chake kwa mashemeji zake Etoile Du Sahel au hujaelewa nirudie. Na lazima itakuwa mapacha maana mke wetu anasumbua sana kila siku alikuwa anapiga majirani.