Thamani ya Rais ni sawa na raia wangapi?

Naamini kama waziri akienda kuomba msaada Balozi za South Korea, Japan , USA mara moja ventilators zitaletwa, wenzetu uzalishaji umezidi matumizi.

China siungi mkono hasa baada ya test kits zao kuleta majibu ya uongo.

Pengine waziri atasikia ushauri wetu na kufanyia kazi.

Nimeona na vyuo vikuu vya Cameroon wameanza kutengeneza ventilators, labda na vyuo vya Tz waombe ushauri wa kitaalamu kwa walioweza ili zizalishwe hapa.
 
Ni kwa kuwa Jiwe ni spanner mkononi
 
Alindwe kama malkia wa nyuki, hilo lakuhamisha machine toka Bugando kwenda Chato huenda hata yeye hajui, kumbukeni watanzania ni wanafiki na watu wa kujikomba,huenda tunamdanganya kuwa machine zipo tele kumbe tuna hamisha hamisha.
 
Mtu mhimu kama yeye atakosa uwepo wa Bishop, na ingependeza zaidi kama pangekuwepo na Kardinari kabisa ili kumkingia usalama mtu huyu mhimu zaidi kuliko binaadam wote tuliomo kwenye taifa hili.

Fikisha ujumbe mkuu P.
Ujumbe umefika, kuanzia sasa, kufuatia Baba Akofu, Severine Niwemugizi, kusitisha ibada jimbo kuu la Rulenge, then from now, is attached kwenye msafara, ndie atakuwa anafungua kwa sala shughuli zote za Ikulu ya Chato.
P
 
Pascal wewe ni mtu wa kusifu na kuabudu naomba kabla hujabisha na kuita ni uzushi ungedadisi na kuchunguza kwanza
Kuna vitu vingine kusema ukweli, ukivisikia tu, huhitaji hata kujiuliza mara mbilimbili, you just dismiss them. unajua tuu kabisa, huu ni uongo na uzushi wa kipuuzi kwasababu, it doesn't make any sense at all.
P
 
Hili ndio swali gani?, kwani kuna mtu ameumbwa kuwa ataishi milele?, katiba imeweka utaratibu wa kila kitu, please tuacheni uchuro!.
P

Uchuro kwani watu hawafi?

Hivi we jamaa Lumumba wanakulipa sh. ngapi kwa haya mapambio unayoendesha humu ndani?
 
Hilo gari ambalo liko fully equipped ni kubwa kiasi gani Cha kuweza kubeba mashine zote za afya?
+1
Kwanza items zozote kwenye gari hutumika Kama temporary solutions, na zina limitations zake, huwezi ukamtoa mgoniwa nyumbani au hispitalini eti uka m ventilate kwenye gari.

Kama kuna hizo gari, zitakuwa ni za kumsaidia mtu akipatwa na dharula njiani, wakati anapelekwa hispitalini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu la swali lako lipo ndani ya Quran ambapo Allah (Subhannahu wataala) anasema "mbora kati ya wanadamu, ni yule mwenye kumcha Mungu na kuacha makatazo yake". Sasa kama huyo mtu unayemtolea mfano kweli ni mcha Mungu hasa, hana unafki, mwenye huruma na hujiepusha mbali na yote aliyoyakataza Mungu kwenye vitabu vyake, basi atakuwa ni mbora hasa miongoni mwa wananchi wengi. Bujibuji,
 
Yaani Jalalani watengeneze Ventilators?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka bado ujatenda haki kabisa..Umeulizwa kwa Lugha ya Kiswahili wewe unajibu kwa Kiingereza! Acha uchoyo na mimi nataka kujua majibu...nini maana ya implant?
 
Hilo gari ambalo liko fully equipped ni kubwa kiasi gani Cha kuweza kubeba mashine zote za afya?
Mkuu bado huko enzi za mwaka 47 ambapo kompyuta ilikuwa inalingana na chumba cha kulala!
 
Hizo ventilation zingekuwa zinatumika kuzibiti wapinzani zimewekwa kila kata sema sababu hazina kiki ndo hivo
 
Sawa na wana chattle wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…