Thamani ya nyoka ni sumu yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thamani ya nyoka ni sumu yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Raia Fulani, Apr 20, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuna wanaobeza ccm kujivua gamba na kubakia na sumu. Gamba si silaha ya nyoka bali sumu yake. Gamba ni ujana tu. Sumu ya nyoka kichama iko katika muundo wa uongozi wa chama, sera zake, uwezo wa viongozi, n.k. Yawezekana ccm imejivua gamba lakini haina sumu hivyo kutumia mabavu kama chatu. CDM wala NCCR wasibeze uwepo wa sumu kwa nyoka wakati sumu ndio silaha na uwezo. Sumu ya chadema inaiathiri ccm na vyama vingine. Tuwapinge ccm kwa hoja nyingine na si ya kujivua gamba na kubakia na sumu
   
Loading...