Thamani ya mwanamke ni nini?

Thamani ya mwanamke ni utu wake na kwavile kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu.
Mchango wake katika kupafanya duniani kuwa sehemu bora ya kuishi na mchango wake ktk malezi ya familia.

Kama shimo hata wanaume mnalo ndio maana mnaoana.

Duh, una maneno makali mpendwa, ka panga la mkurya.
 
aise!!! hii kali. ati unasema?

Cku hizi mwanamke na mwanaume wana tofauti gani? Poda tunajipaka wote, kutoboa masikio, pua, kusuka, makaloright ndio usiseme.... kuinamishwa wote yaani imebaki tofauti ya jina tuu
 
Cku hizi mwanamke na mwanaume wana tofauti gani? Poda tunajipaka wote, kutoboa masikio, pua, kusuka, makaloright ndio usiseme.... kuinamishwa wote yaani imebaki tofauti ya jina tuu

mmm but hujajibu swali hapa umetoa tofauti,. unatakiwa uonyeshe thamani ya mwanamke. anyways, thats what u think, but ni kweli kwa kutofautisha siku hizi ni ngumu kidogo,. unaweza kumuona mtu ikachukua muda sana kujua jinsia yake....
 
Thamani ya mke ni mavazi, kula vizuri, kuvaa vizuri, ndio siri ya kudumisha ndoa. Watoto wapeleke shule kwa manufaa yao ya baadae. Source: Less wanyika, Song--Amigo
 
Cku hizi mwanamke na mwanaume wana tofauti gani? Poda tunajipaka wote, kutoboa masikio, pua, kusuka, makaloright ndio usiseme.... kuinamishwa wote yaani imebaki tofauti ya jina tuu

Nakshi; yaani leo tena umekosea, aaagh! Hapo kwenye red huyo unaeinamishwa nae pia ni mwanamke mwenzio, tofauti ipo kwa huyo anaewainamisha wote ndo MWANAUME.
 
Mwanamke thamani yake ni tabia njema inayompendeza Mwenyezi Mungu
Wapo wanawake wazuri kwa kila kigezo cha uzuri wameshindwa kuonyesha tabia njema ni matakataka hutamani kuwa nalo
Mwanamke anayejiheshimu msafi wa tabia ya ndani na nje she is a most precious thing, ni zaidi ya almasi
Ndio maana Paul anasema Kujipamba kwenu kusiwe kwa nje yaani kuvalia madhahabu na mavazi ya thamani, baali kuwe ni kwa utu wa ndani..
Nawasilisha
 
Cku hizi mwanamke na mwanaume wana tofauti gani? Poda tunajipaka wote, kutoboa masikio, pua, kusuka, makaloright ndio usiseme.... kuinamishwa wote yaani imebaki tofauti ya jina tuu
Lakin itasemekana ni mwanaume kainamishwa,je kama hana hicho cha kuitwa mwanaume hapo mbele itasemekana ni nani kainamishwa,na mwanamke kama hana itasemekanaje? Mwanmke ni mwanamke na atabaki kuwa na mvuto na kutakwa na mwanaume endapo amekamilika kila idara. Kwa gharama yoyote. Mwanaume kuinamishwa atakuwa kataka yeye,na atakaye mtamani mwanaume mwenzie atakuwa na matatizo yake kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…