Thamani ya mwanamke ni nini?

Thamani ya mwanamke ni nini?

Museven

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
629
Reaction score
452
Hivi jamani, thamani ya mwanamke ni nini? Au kwa lugha rahisi ni nini kinamfanya mwanamke awakonge nyoyo wanaume mpaka wawe tayari kumpata kwa gharama yoyote? Hebu imagine, mwanamke awe mzuri sana eg. sura nzuri, umbo namba 8, chuchu dodo, sauti laini, tabia nzuri, nk lakini asiwe na "MBUNYE" a.k.a k.ma! Ni wanaume wangapi watakomaa kumpata?
 
Thamani ya mwanamke ni utu wake na kwavile kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu.
Mchango wake katika kupafanya duniani kuwa sehemu bora ya kuishi na mchango wake ktk malezi ya familia.

Kama shimo hata wanaume mnalo ndio maana mnaoana.
 
Ni hiyo kutu hapo chini ndio thamani ya mwanamke, asipokuwa na hiyo maneno atakuwa sio mwanamke tena ataitwa "mkosa-jinsia" au "Manless-Ladyless" Hatimae hakuna atakayekuwa na shughuli nae hata akikaa uchi barabarani. Tuache uongo katika hili,Ndio maana mtu akizaliwa anachunguliwa ndipo aitwe jina la kiume au la kike. Thankx.
 
Thamani ya mwanamke ni mavazi,
Kula vizuri, kulala vizuri,....reference AMIGO song
 
Hivi jamani, thamani ya mwanamke ni nini? Au kwa lugha rahisi ni nini kinamfanya mwanamke awakonge nyoyo wanaume mpaka wawe tayari kumpata kwa gharama yoyote? Hebu imagine, mwanamke awe mzuri sana eg. sura nzuri, umbo namba 8, chuchu dodo, sauti laini, tabia nzuri, nk lakini asiwe na "MBUNYE" a.k.a k.ma! Ni wanaume wangapi watakomaa kumpata?

hahaha mie hoi ila tutampaje classification yeye ni mwanamke kama hana k???:yo::yo::tape2:
 
Watoto wako wapeleke shule kwa manufaa yao ya badae...umenikumbusha mbalii...
Elimu ndiyo zawadi muhimu, utaishi kwa raha Amigo.....

pole sana mwaya kwa kukumbuka mbali, but i really feel that song, kila siku lazima niusikilize
 
nahisi ipo katika ndoa..........katika matunzo ya familia/mumewe ...jinsi mumewe anavyopendeza na kuvaa vizuri na watoto pia.....ndio tunajiona tumefika,km ndoa haina thamani kwetu wadada mbona tunalilia tuolewe?????......hata sijui naandika nini :A S 39:
 
Kwani thamani ya mwanamme ni nini?

Na walio na jinsia mbili?

Nadhani binadamu wote wana thamani sawa, jinsia ni baiolojia tu.
 
Mwanamke asiye na ndoa hana thamani?

nahisi ipo katika ndoa..........katika matunzo ya familia/mumewe ...jinsi mumewe anavyopendeza na kuvaa vizuri na watoto pia.....ndio tunajiona tumefika,km ndoa haina thamani kwetu wadada mbona tunalilia tuolewe......hata sijui naandika nini :A S 39:
 
Thamani ya mwanamke ni kubwa sana zaidi ya vile tunavyofikiria! Mama zetu waliotuzaa wote ni wanawake! Nilikwepo labour wakati my wife anajifungua mtoto wetu wa pili, mwanamke, awe mkeo au mama yako mpe heshima yake pale labour si mchezo palibadirisha kabisa mtazamo wangu juu ya wanawake! Ni watu shupavu sana na wavumilivu kwa ujumla.
 
Walio na ndoa hawaghafiliki?

Tena hadi kufikia point ya kuachana?

Na umeangalia kwa binti aliye chini ya miaka 20 na hajaolewa, hana thamani?

Mie nadhani binadamu aliye ndani ya mwanamke ni thamani tosha kabisa.

sijui hilo,nachojua wadada wakifika age fulani bila ndoa hughafilika sana,thatsway nimefikiria ndoa ni kipimo fulani cha thamani
 
Walio na ndoa hawaghafiliki?

Tena hadi kufikia point ya kuachana?

Na umeangalia kwa binti aliye chini ya miaka 20 na hajaolewa, hana thamani?

Mie nadhani binadamu aliye ndani ya mwanamke ni thamani tosha kabisa.

simpo kama unagharifika na uko ndoani,get out...
kuachana ni kushuka kwa thamani,ndio maana watu wanasali kuzipigania ndoa zao..C.wachache lakini)
hilo la binti wa miaka 20 ana thamani kama atajitunza asifanye umalaya,kiwango chake ni ubikira...habari ndio hio
 
Hivi jamani, thamani ya mwanamke ni nini? Au kwa lugha rahisi ni nini kinamfanya mwanamke awakonge nyoyo wanaume mpaka wawe tayari kumpata kwa gharama yoyote? Hebu imagine, mwanamke awe mzuri sana eg. sura nzuri, umbo namba 8, chuchu dodo, sauti laini, tabia nzuri, nk lakini asiwe na "MBUNYE" a.k.a k.ma! Ni wanaume wangapi watakomaa kumpata?

Ukijua thamani ya mama yako, utajua mwanamke ana thamani gani.
 
Ni hiyo kutu hapo chini ndio thamani ya mwanamke, asipokuwa na hiyo maneno atakuwa sio mwanamke tena ataitwa "mkosa-jinsia" au "Manless-Ladyless" Hatimae hakuna atakayekuwa na shughuli nae hata akikaa uchi barabarani. Tuache uongo katika hili,Ndio maana mtu akizaliwa anachunguliwa ndipo aitwe jina la kiume au la kike. Thankx.

Cku hizi mwanamke na mwanaume wana tofauti gani? Poda tunajipaka wote, kutoboa masikio, pua, kusuka, makaloright ndio usiseme.... kuinamishwa wote yaani imebaki tofauti ya jina tuu
 
Back
Top Bottom