Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Hamna anachofanya kuashiria he is sorry?



Shkamoo babu...

Basi babu tudokeze ni vitu gani 'MWANAUME' anaweza kufanya kuonyesha kwamba amekubali kakosea and he is sorry bila kusema chochote.


Cha kwanza ni kuwa mpole na kusikilizia rap za mwenye haki...
 
Ukikubali.kosa yaamaanisha hutaweza rudia tena lakini unapokataa kosa wakati unajua kabisa hata anipe nini, ngumu sanaaa. Lkn akisema ni kweli mke wangu nimefanya hivyo.nidanganye ni shetani tu alinipitia au mazingira yalikuwa hivi na hivi yalinilazimu kufanya hivyo nami naona kabisa ni kosa hata mimi ningeumia sana tafadhali nisamehe. Roho yangu kwatuuuu na naweza kusamehe toka rohoni kabisa na sitakumbusha tena.

Unaongea practically au hypothetically??

Yaani ukiri kwa mke wako halafu utegemee kusamehewa? Labda kama unaongelea vimakosa vidogo vidogo kama kusahau kumletea ice cream aliyokuomba...lol!!

Kuna makosa ambayo mtu hutakiwi kukiri hata kama umenaswa na manyoya...

Thubutu halafu utakuja kutusimulia kitakachokupata!!
 
images
images
images

Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani???Ipi unadhani ni ya dhati?

…..Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k

Au …..kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA alafu basi??

Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?

ewaaaaah! hapo red ndo penyewe hapo.
 
images
images
images

Ladies,
kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina
gani???Ipi unadhani ni ya dhati?

…..Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na
kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out,
kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji
yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k

Au …..kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA alafu basi??

Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na
badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?

mm akiona so kusema am sory tho napenda basi anitimie nyimbo flan ifikishe ujumbe.
 
Hiki ndicho nilichokuwa natafuta kutoka kwa wazoefu wa maisha....

Mwanamume gani bwana atakaa kila siku na kujipigisha magoti kuomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu?

Inabidi wamama wajue kuwa tunaendeshwa na hormones tofauti kiasi kwamba hatuwezi kufanya mambo kwa mbinu zinazofanana. Hii haina maana kuwa hatuombi msamaha ila uombaji wetu ni tofauti na ule wa wavulana!!

umeona akijishusha sana ataonekana bushoke
 
Majuzi padri ktk somo alituuliza kama unatakiwa utoe jibu ndio au hapana na umeulizwa Je umeacha kuiba??utajibu nini?

Kuna somo kubwa sana hapo...wanawake wanapolazimisha ni kweli mwanaume anakuwa amefanya kosa LA dhahiri au mwanamke inakuwa tu kahisi au kahukumu kwa kuona dalili flani???akiomba msamaha kwa kulazimishwa si ndio inakuwa Yale Yale je Umeacha kuiba?
 
madharau yasio na kichwa wala miguu tena kuna hiyo defense mechanism mtu anakosa afu anawahi kununa mxyuuuu hapo anajiwekea tahadhari asiulizwe uboya tu, umekosa sema sorry haibadili uanaume!!!
 
Hii minjemba ya kiafrika kabisa kuomba msamaha? Hiihii mi kina Asprin kabisa inayosemaga "Sisi ndio wanaume bhana"??

Labda hawa wa globalization!
 
Last edited by a moderator:
Ukikubali.kosa yaamaanisha hutaweza rudia tena lakini unapokataa kosa wakati unajua kabisa hata anipe nini, ngumu sanaaa. Lkn akisema ni kweli mke wangu nimefanya hivyo.nidanganye ni shetani tu alinipitia au mazingira yalikuwa hivi na hivi yalinilazimu kufanya hivyo nami naona kabisa ni kosa hata mimi ningeumia sana tafadhali nisamehe. Roho yangu kwatuuuu na naweza kusamehe toka rohoni kabisa na sitakumbusha tena.

na ili ku confirm kwake kuwa msamaha ni halali unamruhusu na kula mzigo au?
 
Kutana na manka wa kishumundu ndio utajua.Full ukorofi,dharau na jeuri.Pia haombi msamaha Hata akosee nini.Hapo mwanaume lazima ushindwe.Soma mithali 21:9,na 21:19.Ni kweli wanaume wengi huwa hajishushi maana wanaogopa wadada watawadharau.Japo sidhani Kama hii dhana inafanya kazi Mara zote.
 
Mfumo dume umetuathiri wanaume, huwa tunadhani kuwa mpole na kuomba msamaha kwa mwanamke ni kujishusha hadhi ya uanaume. Inahitajika elimu ya mahusiano kwa wanaume kufuta mawazo haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom