Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Tumekuwa tukitofautiana sana na mpenzi wangu lakini baada ya kukaa kimya kwa muda nikitafakari niamue nn cha kufanya juu ya maisha yangu niliwaza kabla sita make decision embu nijaribu kuwa mjinga.

Kujishusha na kusuputu kusema SAMAHANI kwa yote nilio tenda kwako naomba tuanze upya maisha yetu ya mapenzi ya awali, nashukuru toka hapo nimekuwa najisikia mwenye faraja upendo amani upya katika maisha.

So wandungu amua wewe mwanamke au mwanaume kuweka mambo sawa kwenye mapenzi yako.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Hongera waambie na wanawake wenzio wapunguze ubishi na kujifanya wako juuu ya mwanaume
 
Tumekuwa tukitofautiana sana na mpenzi wangu lakin baada ya kukaa kimya kwa muda nikitafakari niamue nn cha kufanya juu ya maisha yangu niliwaza kabla sita make decision embu nijaribu kuwa mjinga kujishusha na kusuputu kusema SAMAHANI kwa yote nilio tenda kwako naomba tuanze upya maisha yetu ya mapenzi ya awali,nashukuru toka hapo nimekuwa najisikia mwenye faraja upendo amani upya katika maisha so wandungu amua wewe mwanamke au mwanaume kuweka mambo sawa kwenye mapenzi yako.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
mama s upo juu sana..km kweli una mwanaume mwelewa mtafika mbali sana..kimahusiano hata kiuchumi pia
 
Ni wanawake wachache sana wanatambua hili!

Mwanaume kusema SAMAHANI ni vigumu mno! Akijitahidi atakwambia 'YAMEISHA'

Hekima ni kitu kizuri.
 
images
https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcT9S-
dX_ToIvq8PxOaO_KBptWmnOKr4ie2z56H2UVPDv7dbjHM
images

Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani???Ipi unadhani ni ya dhati?

…..Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k

Au …..kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA alafu basi??

Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?

Just for him to realize his mistakes , and come clean to me for the things he has done. Akiri amekosa. Then vingine vyote vitafuata. Thanks.
 
Lakini facial expression si inaonyesha kuwa amekubali kosa....mwanaume akiwa anaomba msamaha ovyo ovyo anaboa bhana

Hiki ndicho nilichokuwa natafuta kutoka kwa wazoefu wa maisha....

Mwanamume gani bwana atakaa kila siku na kujipigisha magoti kuomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu?

Inabidi wamama wajue kuwa tunaendeshwa na hormones tofauti kiasi kwamba hatuwezi kufanya mambo kwa mbinu zinazofanana. Hii haina maana kuwa hatuombi msamaha ila uombaji wetu ni tofauti na ule wa wavulana!!
 
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni

mahondaw mi gf wangu nimemuweka pending mbishi, hashauriki, hapendi kujishusha..yaani kosa anafanya yeye kwa ubishi wake mi ndo nashuka na kupotezea mambo...

Naungana na wewe dawa yake inachemka.
 
Last edited by a moderator:
Hiki ndicho nilichokuwa natafuta kutoka kwa wazoefu wa maisha....

Mwanamume gani bwana atakaa kila siku na kujipigisha magoti kuomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu?

Inabidi wamama wajue kuwa tunaendeshwa na hormones tofauti kiasi kwamba hatuwezi kufanya mambo kwa mbinu zinazofanana. Hii haina maana kuwa hatuombi msamaha ila uombaji wetu ni tofauti na ule wa wavulana!!

Hahahaa ninyi mnaomba 'kidizaini' sio?
 
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni

Hamna anachofanya kuashiria he is sorry?

Hiki ndicho nilichokuwa natafuta kutoka kwa wazoefu wa maisha....

Mwanamume gani bwana atakaa kila siku na kujipigisha magoti kuomba misamaha isiyo na kichwa wala miguu?

Inabidi wamama wajue kuwa tunaendeshwa na hormones tofauti kiasi kwamba hatuwezi kufanya mambo kwa mbinu zinazofanana. Hii haina maana kuwa hatuombi msamaha ila uombaji wetu ni tofauti na ule wa wavulana!!

Shkamoo babu...

Basi babu tudokeze ni vitu gani 'MWANAUME' anaweza kufanya kuonyesha kwamba amekubali kakosea and he is sorry bila kusema chochote.
 
Hamna anachofanya kuashiria he is sorry?

Shkamoo babu...

Basi babu tudokeze ni vitu gani 'MWANAUME' anaweza kufanya kuonyesha kwamba amekubali kakosea and he is sorry bila kusema chochote.

Swali zuri....
 
Ukikubali.kosa yaamaanisha hutaweza rudia tena lakini unapokataa kosa wakati unajua kabisa hata anipe nini, ngumu sanaaa. Lkn akisema ni kweli mke wangu nimefanya hivyo.nidanganye ni shetani tu alinipitia au mazingira yalikuwa hivi na hivi yalinilazimu kufanya hivyo nami naona kabisa ni kosa hata mimi ningeumia sana tafadhali nisamehe. Roho yangu kwatuuuu na naweza kusamehe toka rohoni kabisa na sitakumbusha tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom