Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
doh!!...but the antelope is possibly an impala or a gazelle..., not a deer!
Ila siku hizi si woteMama ana thaman ila baba nae anajitoa muhanga ,,
Ni kweli ..nimesemea kwa wazazi wa kiume wasio fake familia zaoIla siku hizi si wote
Ni kweli mkuu ,,ila inabidi tu tuseme tunawapenda mama zetu kwa kuwa tumetoka wazima ,japo kupigwa na miiko,mikanda,mabomba ya chuma tumepitiaIla kuna mama wana roho ngumu anatupia chooni ili yeye aendelee kula bata
Ni kweli mkuu ,,ila inabidi tu tuseme tunawapenda mama zetu kwa kuwa tumetoka wazima ,japo kupigwa na miiko,mikanda,mabomba ya chuma tumepitia