Thamani ya maisha yako

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,381
1,414
Maisha ni vile unavyojiweka mwenyewe. Wewe mwenyewe unaweza kuamua uwe na thamani kiasi gani.

Vilevile chagua watu ambao wanatambua thamani yako, fanya kazi na watu ambao wanatambua thamani yako.

 
Back
Top Bottom