Thamani ya chupi yako. Ilinde chupi, imebeba maagano, imebeba laana, imebeba baraka, imebeba mapepo

Sehemu ya pili....!
Kuna hisia za ajabu na raha ya aina yake pale inapofikia sehemu muhimu ya kuchojoa chupi... Ni moment yenye ladha ya aina yake hasa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ama kwa yule umpendaye....
Uvuaji huu wa chupi ni ibada ya kiroho yenye pande mbili hasi na chanya... Inategemea unamvulia nani na kwa nini...
Kuvua chupi kwa muktadha huu kuna tafsiri moja tu kukamilisha tendo lenye vinasaba na dhambi ya asili
Kwenye maingiliano ya kimwili kuna mgeni na kuna mwenyeji... Yeyote kati ya hawa anaweza kuwa si mwema... Na kadiri unavyofanya ngono na watu wengi ndio umajimaliza nguvu zako za kiroho huku ukistawisha mamlaka za giza kwakuwa mojawapo ya chakula chao kikuu ni manii.. Hivyo kwakuwa unazo za kutawanya basi unajikuta unashikiliwa mateka na mapepo husika ili uwe mtumwa za kuzalisha na kuzalisha
Makundi yenye manii zenye nguvu sana kiroho ni makundi mawili
Kundi la kwanza ni kundi lililokula kiapo na yamini kwenye madhabahu ya kidini.... Unapokula kile kiapo cha useja unajiundia nguvu ya kiroho kuanzia wewe mwenyewe mpaka kila kitu chako.... Sasa mamlaka za giza zinapokukamata sidhani kama utaweza kuchomoka.... Watakubarikia pesa umaarufu na kila kitu lakini vyote vitaishia kwenye chupi... Na kamwe hutakuwa na mwisho mwema... Waangalie kwa mfano mapadre, manabii na mitume wa kileo
Kundi la pili ni kundi la wanandoa.. Wale waliokula kiapo cha kiimani... Hapa napo kuna shida, kiroho kwa upande wa nguvu za giza ni aina fulani ya ubinafsi na uchoyo... Wanandoa sio carefree na manii zao zina kiapo hivyo nazo ni malighafi zenye nguvu mno... Kwahiyo nao wakitetereka kidogo tu kwasababu yoyote ile hutekwa mazima....
Nitaendelea sehemu ya tatu

Jr
 
Dunia ina mengi sana,
 
Leo jicho limenitoka kama mjusi...
Hii ya leo kali
Asante kwa ushauri ooops sorry ujumbe
Hahahhh kua uyasome haki kweli!
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada ya vifuniko vya asali,,::
.
Mkuu hapa unazungumzia chupi ya jinsia gani? .Maana baba zetu wamevaa chupi sana tofauti na kizazi cha sasa cha kiume .


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…