Inaaminika kuwa wakina dada wamebeba mafanikio ya waume zao na ndiyo sababu wanatakiwa kutojihusisha na tendo la ndoa na mtu yeyote isipokuwa mume wake.
Ikiaminika kuwa nyota ya mafanikio ya Mwanaume ipo katika ubikira pale tendo la ndoa linapofanyika kwa Mara ya kwanza Na mume wake anaiachilia hiyo baraka kwake.
Hii ni moja ya sababu kwanini apatae mke apata kitu chema..apata kibali kwa Bwana
*Sababu zinazowapelekea vijana wengi kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa
-mapenzi Kama njia ya kuonyesha upendo(sex as an expression of love)
.
-hofu ya kupoteza mahusiano
-mazingira ya furaha kupitiliza/sherehe/ulevi
.
-mavaz yanayoonyesha sehemu za maungo ya mwanamke
-kwa kuamini kuwa akiutoa mwili wake atapendwa zaidi
.
-wapo vijana wanaojiingiza ktk mahusiano ya kingono tu kwa hofu ya kutokuonekana hawawezi kufanya mapenzi ktk Rika lake au kwa Marafiki zake(my friends will think there's something wrong with me if I won't have sex)
.
-Wapo vijana walioaminishwa kuwa wanahitaji kuwa na uzoefu wa mambo ya mapenzi ili wasije wakaaibika siku ya ndoa yao
.
Wengine wameaminishwa kuwa wasipofanya mapenzi kabla ya ndoa wanaweza kuja kuumia siku wakija kufanya ndoani, hivyo ni Bora kuanza kufanya mazoezi mapema.
.
Elimu dunia,maneno ya upotoshaji
Mf usipofanya utakuwa zuzu,utapata ugonjwa wa kuchekacheka
*Namna wachumba wanavyoweza kuanguka katika zinaa
-kwa kukaa maeneo ya uficho wakiwa pekeyao
-kwa kujaribu kulala kitanda kimoja
-kwa kuvaa mavazi yenye ushawishi wa kimapenzi mnapotembeleana
-kwa kupenda kutembeleana nyakati za usiku
- mikao ya kimapenzi mkiwa pekeyenu
-Kujali(care)kunakopitiliza
-kwa kuwa na Marafiki wanaokushawishi kufanya mapenzi na mchumba wako.
1kor15:33
Msidanganyike, mazungumzo mabaya huharibu tabia njema