Thabeet going to Oklahoma City, probably. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thabeet going to Oklahoma City, probably.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kang, May 21, 2009.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Lottery ya draft picks imefanyika, Oklohoma City Thunders wamepata pick ya tatu, na most experts wanasema watamchagua Thabeet.

   
 2. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unfortunately the Tanzanian Government never gave Thabeet any help apart from the photo op he had with JK.

  The government should have invested on Thabeet just like how the Chinese did to Yao. He was given personal trainer, coach e.t.c. These type of special players help a lot in boosting the game at home and marketing other players left at home.

  Thabeet and his family took all the burden by themselves to reach where he is, but very soon you will hear the goverment praying for his service.

  Go 'the Lion', enjoy your money and your stay in Okla.
   
 3. General

  General Member

  #3
  May 21, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  If all we have is cry babies like you wanting Government support on everyone bouncing a ball how much resource would the Governement need?
  The Government cant even provide clean water to its citizens and you want the same Government to dish out dollars to someone who already has future endorsements lined up, college coaches who are dedicated on improving his game let alone personal aspirations to succeed.
  I think sometimes lets give our Governement a pass on small issues like these as they will only yield hate on Hasheem side.
   
 4. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu,

  Hasheem ni mfano wa kuigwa kwa watanzania wengine hasa vijana kuwa wanatkiwa wajitume vilivyo kuweza kupata mafanikio. Mafanikio ya Hasheem aliyoyapata hadi sasa hayakuja kirahisi amefanya juhudi kubwa ya kujituma pamoja na kusikiliza ushauri wa mbalimbali. Hata hivyo safari ya Hasheem ndiyo kwanza inatarajiwa kuanza kuelekea katika kufanikisha ndoto yake.
  Sikubaliani na hoja yako ya serikali ya ku-pump pesa kwa ajili ya kumweka Hasheem kileleni, la hasha, Hasheem anatafuta nafasi yake katika kujitengenezea jina then anajua fedha itafuata, laiti angemwagiwa mapesa sidhani kama angelifika hapo alipo sasa hivi.
   
 5. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  yaap! atabaki kuwa icon wetu na ni kitu cha kutufanya wabongo tutembee kifua mbele miaka hii! mungu ambariki afikie kule ambako wengi walifika na kupata mafanikio' hakika yeye kwetu ni 'HESHIMA THABITI' natumai wabongo tutajifunza kutokana naye ili kufikia alipo na hatimaye kujikomboa na umasikini binafsi na nchi kwa ujumla,amkeni twendeni watanzania!
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nani anachukuliwa wa pili? Yule guard mspanish? Nasikia ni noma! Sema kina Chris Paul watamla kinoma. Thabeet akienda Oklahoma itakuwa heri sana, maana yule dogo Durant ni hatari. Itakuwa kama enzi za Mutombo na Iverson! Labda wataweza hata kufika finali pamoja!
   
Loading...