THA CARTER V. Lil Wayne anarudi alipokuwa??

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
7,913
13,373
Kwema wadau?
9DE8F1D2-C3FB-4757-B0E8-CD41C16E6DCB-934-0000008EDB7B833E.JPG

Tuweke mambo mengine kando embu tuiangalie kama Tha carter V itamrudisha huyu jamaa level zile tena maana vijana wamekuwa moto sana

Japo namatumaini na ichi kichwa maana kuna track Swizz beat kampa collabo kafanya kweli utafikiri ni nyimbo yake.

Ila atawaweza kweli watu kama Migos, Kelvin, Lil uzi nae namuona siyo haba hapa kati kati.

Nimesikiliza track 3 tu za Tha carter V bado naendelea nazo nyingine ila nimempa point

Anyway embu sema neno mdau..
 
Content yake ni educative au ndio jamii ya JIBEBE na KWANGARU ?

huku ni life Inspirational songs mwanzo mwisho, lazima upate ka kitu japo F**k zipo pia mf. anakwambia. "You better stand up and get up like Bob Marley, thats your homies he die for you" Problem-Carter V
 
Kwema wadau?
View attachment 882342

Tuweke mambo mengine kando embu tuiangalie kama Tha carter V itamrudisha huyu jamaa level zile tena maana vijana wamekuwa moto sana

Japo namatumaini na ichi kichwa maana kuna track Swizz beat kampa collabo kafanya kweli utafikiri ni nyimbo yake.

Ila atawaweza kweli watu kama Migos, Kelvin, Lil uzi nae namuona siyo haba hapa kati kati.

Nimesikiliza track 3 tu za Tha carter V bado naendelea nazo nyingine ila nimempa point

Anyway embu sema neno mdau..
Mkuu naomba link nishushe hii album
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom