TGNP na Mashoga ni aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TGNP na Mashoga ni aibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyamburi, Oct 28, 2011.

 1. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadaui,miezi kama miwili iliyopita tulisikia juu ya tamasha la mtandao wa jinsia tanzania(tgnp) lilivyowaalika mashoga na kuwa wazi kwa kuwataka watoe hisia zao juu ya ushoga na usagaji na hata kwenda mbali kwa kuwataka mashoa/wasagaji wapiganie haki zao ili watambulike rasmi nchini. cha kushangaza na kusikistisha ni kua serikali na hata viongozi wa dini hawajatoa tamko lolote mpaka sasa juu ya suala ilo la aibu,sasa je sisi wananchi wa kawaida tuelewe kua nchi hii imeridhia kimya kimya kuhusu jambo la ushoga?kwa nini serikali imekua legelege na isyotoa hata kauli nzito za kuonya hata ikiwezekana kuzifuta kabisa asasi kama hizi zinazoamasisha mambo yasiyo na maadili kwa jamii yetu kwa kisingizio cha demokrasia?Yaani serikali imelala kiasi kila mtu anajisemea atakavyo?au tujue kua asasi kama gii ya Tgnp zina nguvu kuliko hata sheria zilizotungwa na nchi hii?au ndio asasi za hao wanaoitwa wakubwa?nilibahatika kusoma gazeti moja wiki chache zilizopita,likidai kua wafadhili wa nchi za magaharibi kupitia asasi za kiraia wana mkakati wa wa kuingiza masuala ya kishoga nchini kwa kuhamasisha mashoga kupigania watambulike kisheria,je hii si aibu kwa watatnzania tulio na maadili?serikali iko wapi?zipo asasi makini kama TWAWEZA,HAKI ARDHI,TAMWA,HAKI ELIMU n.k lakini kwa hii ya Tgnp naanza kuona ni moja ya asasi hovyo hovyo yenye kuhamasisha maovu kwa jamii,na hasa ikizingatiwa semina zao baadhi ya waudhuriaji ni watoto wetu wadogo,je wanajifunza nini hao watoto toka kwenye asasi kama hii?Serikali imefika muda wa kutolala au kukaa kimya kuhusu masual hay,na hata jamihi pia tukemee vikali asasi potofu kama hii ya Tgnp.
   
Loading...