Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 132
Mtandao wa jamiiforamu, umejaa vichwa makini
Wengi upitia soma humu, uchambuzi ulio kamili
fisadi utishiwa hukumu, uongozi wao unapo katili
sote twajaa na ulazimu, kujadili mikataba batili
Invisible naanzia, robot wetu asiyeonekana
Ole mzee wa kupitia, zichafukazo zote mada
Brutus mzee wa kufungia, mtukutu jf memba
Painkiller wa teknolojia, foramu uturekebishia
Mkjj mzee wa politico nyingi, Mwk bibie machachari
SteveD na ishu za kijamii, Rev. Kishoka amani iwe nanyi
Nyani Ngabu maswali kwa wingi, Kitila Mkumbo na chama makini
Shy uitwa kijana sinichi, Zitto mtetezi wa masikini
Fmes mkulu wa ze dataz, zichambuzwo na Kuhani Mkuu
Halisi bwana breaking newz, Pundit bwana inglishi ngumu
Brazameni mtaalamu wa totoz, Mwanahalisi kipenzi cha Lunyungu
Game Theory mzee wa mavituz, Mkandara na busara kemukemu
Mtanzania mzee wa politico za Mbeya, Jmushi1 kijana wa kujikoti koti
Bubu ataka kusema atimaye amesema, Maxshimba na ishu za kidini dini
Bubu msemaovyo kutwa kazi kunena, CCM chama cha Kada Mpinzani
Kisuralicious mama Africa, YournameisMINE mchizi wa Bostoni
QM msomaji mzuri, mrembo Shishi na mambo ya mapenzi
Mwanahabari naye Mwanamalundi, Koba hakika pia Msanii
Mtu wa Pwani ni rafiki wa Idimi, Chuma changaa kule Masaki
Jina litishalo la Mgonjwaukimwi, Jokakuu latisha kama Jasusi
Mwalimu ambaye ni Kichuguu, Mchongoma aomba hilo Dua
Sitamsahau Madilu wa Madilu, Chinga kutwa Kubwajinga
Slaa pendekezo la Geeque, Masatu siku nyingi amepotea
Mtanganyika amepiga Mahesabu, Tujisenti rudisha Bimkubwa
Mwanzage mwenzake na Mwawando, Mwiba asema Tuandamane
Mazingira safi fani ya Kibunango, Mamaparoko anena Tupendane
Kilimanjaro mkoa wa Ushirombo, mijeredi kapigwa Kuntakinte
Mchambuaji mzee Fundi Mchundo, maana yake sijui Pezzonovante
Bigs up kwa wengine wote niliowasahau kuwataja....
"I have nothing better to do yoh! I'm seriously bored to my stomach."