TGIF - JF mpaka kieleweke~~

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Mtandao wa jamiiforamu, umejaa vichwa makini
Wengi upitia soma humu, uchambuzi ulio kamili
fisadi utishiwa hukumu, uongozi wao unapo katili
sote twajaa na ulazimu, kujadili mikataba batili

Invisible naanzia, robot wetu asiyeonekana
Ole mzee wa kupitia, zichafukazo zote mada
Brutus mzee wa kufungia, mtukutu jf memba
Painkiller wa teknolojia, foramu uturekebishia

Mkjj mzee wa politico nyingi, Mwk bibie machachari
SteveD na ishu za kijamii, Rev. Kishoka amani iwe nanyi
Nyani Ngabu maswali kwa wingi, Kitila Mkumbo na chama makini
Shy uitwa kijana sinichi, Zitto mtetezi wa masikini

Fmes mkulu wa ze dataz, zichambuzwo na Kuhani Mkuu
Halisi
bwana breaking newz, Pundit bwana inglishi ngumu
Brazameni mtaalamu wa totoz, Mwanahalisi kipenzi cha Lunyungu
Game Theory mzee wa mavituz, Mkandara na busara kemukemu

Mtanzania mzee wa politico za Mbeya, Jmushi1 kijana wa kujikoti koti
Bubu ataka kusema atimaye amesema, Maxshimba na ishu za kidini dini
Bubu msemaovyo kutwa kazi kunena, CCM chama cha Kada Mpinzani
Kisuralicious mama Africa, YournameisMINE mchizi wa Bostoni

QM msomaji mzuri, mrembo Shishi na mambo ya mapenzi
Mwanahabari naye Mwanamalundi, Koba hakika pia Msanii
Mtu wa Pwani ni rafiki wa Idimi, Chuma chang’aa kule Masaki
Jina litishalo la Mgonjwaukimwi, Jokakuu latisha kama Jasusi

Mwalimu ambaye ni Kichuguu, Mchongoma aomba hilo Dua
Sitamsahau Madilu wa Madilu, Chinga kutwa Kubwajinga
Slaa pendekezo la Geeque, Masatu siku nyingi amepotea
Mtanganyika amepiga Mahesabu, Tujisenti rudisha Bimkubwa

Mwanzage mwenzake na Mwawando, Mwiba asema Tuandamane
Mazingira safi fani ya Kibunango, Mamaparoko anena Tupendane
Kilimanjaro mkoa wa Ushirombo, mijeredi kapigwa Kuntakinte
Mchambuaji mzee Fundi Mchundo, maana yake sijui Pezzonovante

Bigs up kwa wengine wote niliowasahau kuwataja....

"I have nothing better to do yoh! I'm seriously bored to my stomach."
 
Wewe naona leo umeamua ku-steal company's time, halahala JamiiForums isije kuku-cost.

Ila, hii kitu imekaa vizuri.
 
Unajua kutokana na bei ya mafuta kupanda, malori yanayoleta maboksi hapa mzigoni yamegoma mpaka waongezewe malipo. Kwa hiyo yaani kazi hakuna kabisa. Hapa nilipo nimeminya nyuma ya fokilifti...nauchapa usingizi kama kawa...
 
kazi nzuri sana QM
 
Remind me not to pay you for 1.misusing company's property(laptop) 2.(msisitizo), stealing company's time. Yaani unaendelea kunipa reasons tu, kosa la tatu, nafukuza kazi. :)
 
Unifukuzee.....thubuuutu!!! Hapo ndipo utakapojua jinsi gani workers' union ya wabeba maboksi inavyochakalika kulinda deiwaka wake. Kwanza sitachelewa kufeki injuri ili nivute workers' comp. Hata kama vipi, si ntakwenda kukinga unemployment tu....

Aliyesema marekani ni ardhi ya opotuniti hakukosea......gademu!
 
Aha, mbeba box mtukutu wewe, ndio maana inabidi uondolewe tu. Anyway, basi kwa taarifa tuu:

1.Union walitaka kuingia kwenye kampuni lakini hatukuwapa hiyo chance, hivyo mpaka sasa, hawana chao na huna rep kwa upande huo,

2. Nitaijenga kesi yangu na hata ukienda mahakamani, jaji hawezi kuku-award unemployment kwa kuwa utakuwa haujaonewa, na kama hujaonewa(wrongful term), hupati kitu.

3.Injury tena, asante kwa Info, I have my eyes on you....
 
Union walitaka kuingia kwenye kampuni lakini hatukuwapa hiyo chance, hivyo mpaka sasa, hawana chao na huna rep kwa upande huo

Sasa mbona Tyronne na LeQuisha walikuwa wanakusanya vi-union fees kila mwezi........Unataka kuniambia kuwa tumeiingizwa mjini?

Nitaijenga kesi yangu na hata ukienda mahakamani, jaji hawezi kuku-award unemployment kwa kuwa utakuwa haujaonewa, na kama hujaonewa(wrongful term), hupati kitu.

Poa tu....ukinifukuza si ntarudi zangu Bongo. Halafu ntakuwa nashindilia masanga kila siku pale Nguruko, na kucheza disco pale kawe darajani...mpaka vidolali vyangu viishe.
 
Mkuu QM heshima kaka
umenikumbusha mengi sana ktk shairi lako mkuu...
Kuna kiumbe kama MCHAMBUZI mbaye haonekani mpaka habari za Lowasa zipambe moto.....
Ila ole wako maana KISUR anakuchungulia kila hatua unayopiga kuelekea mlango wa nje
 
Sasa mbona Tyronne na LeQuisha walikuwa wanakusanya vi-union fees kila mwezi........Unataka kuniambia kuwa tumeiingizwa mjini?

Right on...Now get some work done. Baadae inabidi uje huku Signature Room nikupe one on one.

....Nguruko,... na kucheza disco pale kawe darajani....

You just had to, hujatulia wewe :D
 
Baadae inabidi uje huku Signature Room nikupe one on one.

Mh hiyo one on one na bosi ambaye ni kisura si itanitia matatani... Au ndio ni moja ya mbinu zako za kunitafutia sababu za kunimwagisha unga?

You just had to, hujatulia wewe :D

C'mon y'know Nguruko is my favorite bar...hasa pale juu. Pale huwaga wana paja la mbuzi.....unakula mpaka meno yanachoka.....

Disco la kawe darajani ni la kisela... Hamna dress code wala nini. Unaweza ukaingia na kizibao na katambuga....unaruka majoka kama kawa...
 
QM,

Umenisahau na umemsahau Shy kwenye verse yako mkuu. Kazi nzuri kusema kweli

Duh mzee samahani kwa kukusahau...

Basi ngoja nikuandikie shairi lako spesho...

Maxence Melo ukapela umemshinda
Mwezi wa nane jiko anajipatia
wana JF wote tunataka kumchangia
Zawadi za harusi ataibiwa akisinzia
Store ya pombe amesema atanipatia
Vigelegele na vifijo JF tunamshangilia
 
Mh hiyo one on one na bosi ambaye ni kisura si itanitia matatani... Au ndio ni moja ya mbinu zako za kunitafutia sababu za kunimwagisha unga?

Usiogope. Nitakusaidia pepo wote walio na hisia mbaya wataondoka, wala wazo hutakuwa nalo. I am very Professional.

C'mon y'know Nguruko is my favorite bar...hasa pale juu. Pale huwaga wana paja la mbuzi.....unakula mpaka meno yanachoka.....

Disco la kawe darajani ni la kisela... Hamna dress code wala nini. Unaweza ukaingia na kizibao na katambuga....unaruka majoka kama kawa...

Mi Nguruko tu, itabidi niende, hasa pale juu ili nikajionee mwenyewe!
 
Duh mzee samahani kwa kukusahau...

Basi ngoja nikuandikie shairi lako spesho...

Maxence Melo ukapela umemshinda
Mwezi wa nane jiko anajipatia
wana JF wote tunataka kumchangia
Zawadi za harusi ataibiwa akisinzia
Store ya pombe amesema atanipatia
Vigelegele na vifijo JF tunamshangilia

OM umezibuka.
 
Mi Nguruko tu, itabidi niende, hasa pale juu ili nikajionee mwenyewe!

Lakini jaribu kutokwenda mitaa ya night kali.... maana pale juu huwa kunaendelea mambo ya "ajabu" sana kuanzia mida ya saa sita usiku na kuendelea....
 
Mambo ya ajabu ndio yanani-fascinate'. Mi nakwambia wee hujatulia....

Lakini, ebu nipe dondoo kidogo dogo....(i'm all ears)
 
Duh mzee samahani kwa kukusahau...

Basi ngoja nikuandikie shairi lako spesho...

Maxence Melo ukapela umemshinda
Mwezi wa nane jiko anajipatia
wana JF wote tunataka kumchangia
Zawadi za harusi ataibiwa akisinzia
Store ya pombe amesema atanipatia
Vigelegele na vifijo JF tunamshangilia
Quick M', aisee tenzi zimetulia kichizi.... na zinatamanisha kwa kweli! Well done mkuu!
 
Back
Top Bottom