TFF yazuia watu kuzungumzia Mkataba wake na GSM

Watz bwana! Kukiwa hamna udhamini shida,ukiwepo shida. Mnataka nini?
 
Ndio wanaopaswa kuzungumza huu mkataba ni pande mbili tu TFF na GSM na kama haupo kwenye hizo pande basi hupaswi kuzungumza chochote
Kama huo mkataba unawahusu Tff na GsM, kwanini Sasa GSM wanajihita wadhamini wenza wa NBC PL?Kuna usiri gani mpaka wadau wasiujadili huo mkataba?au mkataba huo upo kwa ajili ya mAsLaHi binafsi ya gSm na siyo timu za premium ligi?
 
Unaniuliza mm au?
 
Huu mkataba umevunja kanuni ya "conflict of interest" ndio maana TFF wanahangaika kuwazuia watu wasihoji, huu udikteta umepitwa na wakati, huo mkataba lazima uhojiwe.

Haiwezekani mdhamini mmoja avidhamini vilabu vitatu tofauti kwenye ligi moja, hapa uwezekano wa kupanga matokeo ni mkubwa sana, na zaidi, mdhamini huyo huyo bado nae anaidhamini ligi, kwa hawa waamuzi wetu walivyo wa hovyo uwezekano wakuipendelea/kuzipendelea klabu za mdhamini ambae ndie bosi wao ni mkubwa sana.

Naamini pesa za kuwalipa hawa waamuzi hutoka kwa wadhamini kupitia TFF, hili lazima lizungumzwe vizuri na TFF wasilete ubabe wa kishamba kwenye hili.

Ni kichekesho mkataba wa udhamini unaovihusu vilabu vyote shiriki vya ligi kuu usijadiliwe na vilabu husika, huu ni ujinga wa hali ya juu sana na aibu kwa uongozi wa TFF.

Vilabu shiriki vina haki ya kuhoji chochote kilichopo ndani ya huo mkataba kwasababu ni wahusika, kama TFF na GSM hawataki, basi GSM ajitoe kuvidhamini vilabu vingine, vibaki hivyo vitatu tu, [Yanga, Namungo, na Coastal Union] na GSM wajitoe kuidhamini ligi kuu.

Huu ni uthibitisho mwingine mpira wa Tanzania una matatizo kuanzia juu kabisa kwenye uongozi, mambo kama haya yanayojitokeza ni aibu kwa mpira wetu na nchi yetu.
 
Ndio wanaopaswa kuzungumza huu mkataba ni pande mbili tu TFF na GSM na kama haupo kwenye hizo pande basi hupaswi kuzungumza chochote
Mkurugenzi Wa Uwekezaji wa GSM ni makamu mwenyekiti wa usajili wa team ya Yanga.
Akizungumzia ufadhili wa kampuni yao katika ligi ya NBC halafu akatoa mifano ya vilabu nufaika kwa kutaja baadhi eg Simba, Namungo Azam na akamalizia Yanga, mtamfanyaje?
 
Kama huo mkataba unawahusu Tff na GsM, kwanini Sasa GSM wanajihita wadhamini wenza wa NBC PL?Kuna usiri gani mpaka wadau wasiujadili huo mkataba?au mkataba huo upo kwa ajili ya mAsLaHi binafsi ya gSm na siyo timu za premium ligi?
Umetoa hela yako
 
Ndio wanaopaswa kuzungumza huu mkataba ni pande mbili tu TFF na GSM na kama haupo kwenye hizo pande basi hupaswi kuzungumza chochote
Huu mkataba ni udhamini wa ligi kuu, sio udhamini wa TFF, Vilabu vina haki zake.
 
Mkurugenzi Wa Uwekezaji wa GSM ni makamu mwenyekiti wa usajili wa team ya Yanga.
Akizungumzia ufadhili wa kampuni yao katika ligi ya NBC halafu akatoa mifano ya vilabu nufaika kwa kutaja baadhi eg Simba, Namungo Azam na akamalizia Yanga, mtamfanyaje?
Rudia swali lako tafadhali
 
Back
Top Bottom