Huna najiuliza hivi Ammy Ninje ilikuwaje akatolewa? Kocha mkubwa sana huyu.TFF ya awamu ya wendawazimu kabisa. Sijui wanatumia kiungo gani kufikiri.
Kama ni suala la kumpa mzawa na ni wazo zuri, huyo Mrundi katokea wapi?
Makocha wazawa hawana exposure na mechi za kimataifa kabisa tutaendelea kusugua bench sana we dont have the bright future
Ni wivu tuWalitumia kigezo gani kumng'oa kocha amunike
Kama kawaida yetu wasomaliUpembuzi yakinifu umefanyika au teni pasenti ez usual?
Bora wangempa yule Mwenyekiti wa Yanga ndio Mzawa.Leo tarehe 11 Julai Shirikisho la Soka nchini(Tanzania Football Fedaration-TFF) limetangaza Kocha wa Azam FC, Ndiyaragije Etienne, kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’.
Kocha huyo mpya ataiongoza timu hiyo katika mashindano ya CHAN, akisaidiwa na Kocha wa Coastal Union, Juma Mgunda.
View attachment 1151517
Hahahaha, asee tumewaza pamoja, huyu babu angepewa hii timuHoyo team bora angepewa Hans Van Pluijim
Mkuu . Labda amekua mzawa by default baada ya kupewa ukocha. TeheteheeeTFF ya awamu ya wendawazimu kabisa. Sijui wanatumia kiungo gani kufikiri.
Kama ni suala la kumpa mzawa na ni wazo zuri, huyo Mrundi katokea wapi?
Kumbe kidau ni walewalee. ?Kikubwa ten percent. Kidau kampa Mrundi mwenzie. Tanzania has really gone to the
Hana proven track records.TFF ya awamu ya wendawazimu kabisa. Sijui wanatumia kiungo gani kufikiri.
Kama ni suala la kumpa mzawa na ni wazo zuri, huyo Mrundi katokea wapi?
Record yake ni moja tu. Yeye ni Mrundi na Kidia ama Kadia huyo Mtendaji Mkuu wa TFF ni Mrundi mwenzieHana proven track records.
Tunabadilisha makocha kama nguo
Hakika....Record yake ni moja tu. Yeye ni Mrundi na Kidia ama Kadia huyo Mtendaji Mkuu wa TFF ni Mrundi mwenzie