TFF yamtangaza kocha wa Azam FC Ndiyaragije Etienne, kuwa kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars

Display Name

Display Name

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
376
Points
250
Display Name

Display Name

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
376 250
Leo tarehe 11 Julai Shirikisho la Soka nchini(Tanzania Football Fedaration-TFF) limetangaza Kocha wa Azam FC, Ndiyaragije Etienne, kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’.

Kocha huyo mpya ataiongoza timu hiyo katika mashindano ya CHAN, akisaidiwa na Kocha wa Coastal Union, Juma Mgunda.

e8f954b6-f910-4428-b236-3d29f99906ca-jpeg.1151517
 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
18,826
Points
2,000
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
18,826 2,000
Kikao cha Kamati ya dharura cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), ambacho kimekutana leo Julai 11, 2019 kimemtangaza kocha mkuu wa Azam FC Ndayiragije Etienne kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania Taifa Stars.

Kocha Etienne, amependekeza benchi lake la ufundi kusaidiwa na kocha wa Coastal Union Juma Mgunda pamoja na kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania Suleiman Matola, ambapo Meneja wa kikosi hicho atakuwa Nadir Haroub Cannavaro.

Uteuzi huo umezingatia program maalumu ya kuendeleza makocha wazawa.img_20190711_211448_374-jpeg.1151519
 
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
7,867
Points
2,000
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
7,867 2,000
Upembuzi yakinifu umefanyika au teni pasenti ez usual?
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,229
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,229 2,000
Sasa kuendeleza wazawa uyo wa azam ni mzawa sasa?

Kwanza ni wa muda au ndio kapewa mazima?
 
D

DURACEF

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
461
Points
500
D

DURACEF

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
461 500
Hili shirikisho ni la kifala sana...kwa staili hii hatutafika popote....
 
Tate Mkuu

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
1,090
Points
2,000
Tate Mkuu

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
1,090 2,000
Hii tii efu efu ya si si emu, bado haijaacha tu kutuletea wadau wa michezo masapraizi ya kila aina! Hongera nyingi ziwafikie wateule wote. Mwisho wa siku matokeo tutayaona uwanjani.
 
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2008
Messages
3,175
Points
2,000
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2008
3,175 2,000
Mimi nimependa uwepo wa hao, makocha wasaidizi wawili Matola na Mgunda, naamini, tutaona tofauti kubwa tu sana.
 
I

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Messages
5,687
Points
2,000
I

ipogolo

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2011
5,687 2,000
Kukuza vipaji vya wazawa. Ettiene( kifaransa lakini Ni Steven kiingereza St kiswahili).
Huyu ni mzaliwa wa Burundi. Mrundi.
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
10,977
Points
2,000
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
10,977 2,000
Walitumia kigezo gani kumng'oa kocha amunike
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
7,631
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
7,631 2,000
Sisi yetu macho tu
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
10,977
Points
2,000
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
10,977 2,000
Makocha wazawa hawana exposure na mechi za kimataifa kabisa tutaendelea kusugua bench sana we dont have the bright future
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
7,631
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
7,631 2,000
Aaah Sisi yetu macho tu
 

Forum statistics

Threads 1,315,982
Members 505,466
Posts 31,875,833
Top