Manji anajua kuwanyoosha TFF
Wakiwepo watu aina ya Manji kama 6 tu kupe atanyoka zaidi ila ndo hivyo tena vilabu vingine vinamtetemekea as if kashushwa toka mbingu ya 7.Yale Mafurushi ya Ticket feki ya TFF na Makomandoo feki wa milangoni walizojipanga kuziuza leo wakawauzie wapika supu wa pale Opposite na Msimbazi police central wawashie moto.
Mnyoosho wa Manji nimeukubali
Bora tujifariji boss wetu MANJINinayo furaha kuwafahamisha kuwa leo TFF ya malinzi imenyoshwa mara baada ya Yanga kuruhusu watu waingie bure kwenye mechi ya TP Mazembe na Yanga.
Hapa kilichonifurahisha ni kile kipengere cha kugawana mapato. Kwa hiyo kama pato ni Tshs 0 basi wanagawana hiyo 0 kila mmoja na asilimia zake. Malinzi ajifunze aache figisu katika soka la bongo analiua.
Nampongeza sana Manji kwa mikakati yake madhubuti ya kupambana na hili kupe la soka hapa nchini.
Hongereni sana na kwa hakika mmepata bosi fundi wa mikakati. Nashauri na vilabu vingine waige mikakati ya yanga ktk kupambana na unyonyaji na ubabaishaji ktk soka. Mtu kashindwa kuongoza masumbwi huko ataweza kuongoza soka ambalo halijui??? Vituko uswahilini for sure.Bora tujifariji boss wetu MANJI
Mkuu bila shaka umenifananisha na mashabiki wa yanga. Utakua hauko sahihi, mimi si mshabiki wa yanga ila ni mpinga ukupe na unyonyaji unaofanywa na tff. Kama utafuatilia vizuri kwa sasa vilabu vingi vina mgogoro na tff ila yanga ndo angalau wameonyesha uthubutu wa kupambana na upuuzi wa tff. Kwa hiyo hapa nazungumzia unyonyaji wa kupe la tff kwa vilabu vya soka Tanzania....kwa hiyo na CAF nao hawajapata kitu?!, ila naamini mmejifunza kitu,mpira siku zote unachezwa uwanjani!, wala hauchezwi na mashabiki jukwaani!.
Mmeingizwa wengi kwa lengo la kushangilia ushindi,badala yake mmemwagilia nyasi za uwanja wa taifa kwa machozi!
SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) naNinayo furaha kuwafahamisha kuwa leo TFF ya malinzi imenyoshwa mara baada ya Yanga kuruhusu watu waingie bure kwenye mechi ya TP Mazembe na Yanga.
Hapa kilichonifurahisha ni kile kipengere cha kugawana mapato. Kwa hiyo kama pato ni Tshs 0 basi wanagawana hiyo 0 kila mmoja na asilimia zake. Malinzi ajifunze aache figisu katika soka la bongo analiua.
Nampongeza sana Manji kwa mikakati yake madhubuti ya kupambana na hili kupe la soka hapa nchini.
Hapa nimechoka kabisa kwa hii habari.SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) na
Shirikisho la Soka nchini (TFF), limeitaka
Yanga kulipa fidia ya gharama za mchezo
wake na TP Mazembe Sh milioni 530.
CAF na TFF imefikia hatua hiyo baada ya
Yanga kufuta kiingilio katika mchezo wao
huo wa makundi wa Kombe la Shirikisho
Afrika unaotarajiwa kuchezwa leo kwenye
Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na sasa
mashabiki wataingia bure.
Katika kikao chao cha jana kilichofanyika
kwenye hoteli ya Coral Beach jijini na
kukutanisha maofisa wa CAF, uongozi wa
TFF, Polisi, Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo na viongozi wa Yanga
wakiongozwa na Katibu mkuu wa klabu
hiyo, Baraka Deusdetit wametakiwa kulipa
kiasi hicho cha fedha kama gharama za
mchezo.
Makato katika mchezo huo wa hatua ya
makundi Kombe la Shirikisho asilimia 15
ya fedha hizo zitaenda CAF, asilimia 15
nyingine gharama ya uwanja, TFF asilimia
tano, Baraza la Michezo la Taifa (BMT),
asilimia 10, na Chama cha soka Dar es
Salaam (DRFA) asilimia tano.
Tayari Yanga ilikuwa imechapisha tiketi
31,000 ambazo zingeuzwa kwa Sh7,000
ambazo zingeingiza Sh 217,000,000 huku
zile za Sh 25,000 zilikuwa zimechapishwa
tiketi 8,200 zingeingiza Sh milioni 205
huku VIP zilikuwa tiketi 5,000 ambazo
zingeingiza Sh milioni 150 jumla ya fedha
zote ambazo zingepatikana katika
mchezo huo ni Sh milioni 572.
Pia Yanga wametakiwa kuingiza
mashabiki wasiozidi 40,000 wakizidi
kiwango hicho mchezo huo utafutwa na
Yanga watalazimika kuwajibishwa.