Yanga wakiwapata miongoni mwa wachezaji hawa watatisha Afrika hatua ya 8 Bora

Ushindi Daima

Member
May 4, 2013
92
27
Mabingwa mara 26 wa Ligi Kuu ya soka ya Vodacom Tanzania Bara, klabu ya soka ya Yanga ambayo Jumatano iliyopita walifanikiwa kuingia hatua ya Makundi ya Ligi ya Kombe la Shirikisho la CAF ( 8 Bora).
Yanga imeingia hatua hii kwa jumla ya ushindi wa magoli 2-1 kwa kuiondosha timu ya Sagrada Esperanca ya Angola.

Mwaka 1998 iliweka historia ya kuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kuingia hatua ya Makundi (8 Bora) ya Klabu Bingwa Afrika, lakini ikaishia kukamata mkia kwenye kundi lake kwa kuambulia points 2 tena zote wakizipata katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Wakati ule (1998) walipofuzu hatua ya makundi kwa mara ya kwanza katika ligi ya mabingwa, Yanga walipangwa katika kundi moja na Asec Mimosas ya Ivory Coast, Manning Rangers ya Afrika Kusini, na Raja Casablanca ya Morocco.

Kwa wakati huo, Asec na Raja zilikuwa timu tishio sana katika michuano ya CAF hivyo Yanga ni kama waliangukia katika ‘kundi la kifo’ na kilichowakuta katika michezo 6 ya makundi hawapendi kabisa kukikumbuka.

Waliishia kupewa jina ‘Jamvi la Wageni’ kwa maana game yao ya kwanza tu dhidi ya Raja walikutana na kipigo cha ‘mbwa mwizi’ kutoka kwa Raja baada ya kuchapwa 6-0, Casablanca, wakapigwa 3-0 na Asec katika uwanja wa Uhuru, wakaenda Afrika Kusini wakapigwa 4-0 na Manning Rangers.

Walipoteza pia ugenini 2-1 dhidi ya Asec. Matokeo 1-1 dhidi ya Manning na 3-3 dhidi ya Raja katika uwanja wa Uhuru yalikuwa mazuri zaidi kwao katika michezo 6 ambayo walimaliza wakiwa wameruhusu magoli 19 na kufunga magoli matano tu.

Naamini hili halitajirudia na Yanga haitakuwa tena ‘jamvi la wageni’ katika michuano ya CAF.

Kuelekea kwenye hatua hii ya Robo fainali Yanga imeingia na miamba ya Soka toka ukanda wa Afrika Kaskazini, pia wapo Mabingwa wa zamani wa Klabu Bingwa Afrika TP Mazembe toka DRC Congo.

FUS Rabat, Kawkab Marrakech zote za Morocco, Etoile du Sahel ya Tunisia, Ahli Tripoli ya Libya na MO Bejaia ya Algeria, Medeama ya Ghana ambazo zinasubiri kupangwa katika makundi mawili ya michuano hiyo.

Yanga imepiga hatua sana ndani ya uwanja, katika utawala na mashabiki wanatembea kwa majigambo kwa kuwa wanaona kazi inayofanywa na timu yao na hiyo imejitikoza jana baada ya maelfu ya mashabi na wanachama wa klabu hiyo kujitokeza Uwanja wa Ndege kuwapokea mashujaa wao wakitokea Angola kupitia Afrika ya Kusini.

Yanga SC ilikuwa ‘jamvi la wageni’ 1998, sasa watakuwa wababe wa michuano kwa maana wana timu nzuri iliyosheheni wachezaji bora, Kocha mzuri Hans Pluijm na Msaidizi wake Juma Mwambusi , Uongozi mzuri chini ya Mwenyekiti Yusuph Manji na Makamu wake Clement Sango, na timu kiumjumla ni bora huku Meneja wa Timu akiwaunganisha vema wachezaji na Uongozi.

Yanga haitaishia hatua ya makundi tu, imani yangu ni itasonga mbele zaidi ya hapo na watavunja rekodi zao wenyewe.

Lakini licha ya Yanga kuwa Bora naomba Uongozi wa Yanga na Benchi la ufundi waweze kutuma scouts wao haraka na kuweza kuwaangalia/kuwafuatilia wachezaji hawa wafuatao ambao wanaweza kuwasaidia kwenye michuano hii.

Yanga wana nafasi ya kuongeza wachezaji 3 kwa lengo la kuboresha timu yao.
Hiki sio kipindi cha kubana matumizi maana Yanga sasa kuingia hatua hii wamepata MAMILIONI YA SHILINGI toka Shirikisho la Soka Barani Africa CAF.

Binafsi toka Yanga waweze kuisumbua Al Ahly ya Misri nilitegemea wataingia hatua hii baada ya kuondoshwa kule Klabu Bingwa Afrika.

Niliamua kuanza kuwafuatilia wachezaji wanaocheza soka kwenye Bara la Afrika katika Ligi mbalimbali.
Ni hawa wafuatao..........

DEFENSIVE MIDFIELDERS:
1. Gentil Ndossa - Etoile Congo
2. Djihad Bizimana - APR
3. Vado Dias - Recreativo Libolo
4. Amil Kamal - Al Merreikh
5. Mahame Cisse - AC Leopards
6. Themba Zwane - Mamelodi Sundowns

NB: Kwenye kundi hili Yanga wanapaswa kuchagua mchezaji mmoja wa kuweza kusaidia kiungo wa Ulinzi.

ATTACKING MIDFIELDERS:
1. Anael Bakaki - Etoile Congo
2. Patrick Sibomana - APR
3. Carlos Rocha (RUDY) - Recreativo Libolo
4. Augustine Okrah - Al Merreikh
5. Souleymane Traore - SM Bamako
6. Khama Billiat - Mamelodi Sundowns

NB: Kwenye kundi hili Yanga wanapaswa kuchagua mchezaji mmoja wa kuweza kusaidia Kiungo Mshambuliaji( Namba 10)

FORWARD STRIKERS:
1. Didier Libere - Al Merreikh (apewe mkataba mfupi tatizo umri)
2. Trevor Mukendi - AC Leopards
3. Leonardo Castro - Mamelodi Sundowns
4. Christ NGOMA Mbo - Etoile Congo
5. Bienvenue Mugenzi - APR
6. Alfredo Ribeiro (FREDY) - Recreativo Libolo

NB: Kwenye kundi hili Yanga wanapaswa kuchagua mchezaji mmoja wa kuweza kusaidia eneo la Ushambuliaji.

ANGALIZO: Huu sio wakati wa Mabingwa hao wa VPL kubweteka na kulewa sifa, kikubwa ni kujipanga na maandalizi ya hatua hii kwa undanj na umakini wala sio Zimamoto.

Nina imani na falsafa ya Mwalimu Hans Pluijm na Msaidizi wake Juma Mwambusi ambaye napenda kumuita MZEE WA PHYSIC.

KILA LA HERI YANGA WAWAKILISHI PEKEE WA TANZANIA NA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI.

DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO!
 
pia niwakati mzuri sana wa yanga kutafuta wadhamini wanguvu na kuwekeza nguvu nyingi angalau 40 katika soccer la vijana
 
Huyu jamaa(Christ NGOMA Mbo) aende Simba tu ili akakutane na yule Serukuma wa Simba maana sisi Yanga hatupendi majina ya hivyo kwa kweli.
 
El

Elia Meshack wa Don Bosco(congo drc) na timu ya taifa ya Congo DRC ndio mchezaji mkali wa Yanga kumsajili kama unamkumbuka kwenye mashindano ya CHAN Rwanda....uongozi wa Yanga mtafuteni yule kijana na hakika atauzika Ulaya kama Papii
 
Kwa maoni yangu Yanga inajitosheleza, waliopo wanaweza sana na wana viwango vizuri tu, wakiendelea kukaza hivyo hivyo watafika mbali na kuweka rekodi nzuri ktk michuano hii
 
timu hajitoshelezi ile mkuu mtu kama oscar joshua mapungufu yake yapo wazi kabisa
 
Mimi napendekeza hao Wachezaji wa Libolo FC ndio wasajiliwe ili wale wa Matopeni waipate fresh yao.
 
Mabingwa mara 26 wa Ligi Kuu ya soka ya Vodacom Tanzania Bara, klabu ya soka ya Yanga ambayo Jumatano iliyopita walifanikiwa kuingia hatua ya Makundi ya Ligi ya Kombe la Shirikisho la CAF ( 8 Bora).
Yanga imeingia hatua hii kwa jumla ya ushindi wa magoli 2-1 kwa kuiondosha timu ya Sagrada Esperanca ya Angola.

Mwaka 1998 iliweka historia ya kuwa klabu ya kwanza ya Tanzania kuingia hatua ya Makundi (8 Bora) ya Klabu Bingwa Afrika, lakini ikaishia kukamata mkia kwenye kundi lake kwa kuambulia points 2 tena zote wakizipata katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Wakati ule (1998) walipofuzu hatua ya makundi kwa mara ya kwanza katika ligi ya mabingwa, Yanga walipangwa katika kundi moja na Asec Mimosas ya Ivory Coast, Manning Rangers ya Afrika Kusini, na Raja Casablanca ya Morocco.

Kwa wakati huo, Asec na Raja zilikuwa timu tishio sana katika michuano ya CAF hivyo Yanga ni kama waliangukia katika ‘kundi la kifo’ na kilichowakuta katika michezo 6 ya makundi hawapendi kabisa kukikumbuka.

Waliishia kupewa jina ‘Jamvi la Wageni’ kwa maana game yao ya kwanza tu dhidi ya Raja walikutana na kipigo cha ‘mbwa mwizi’ kutoka kwa Raja baada ya kuchapwa 6-0, Casablanca, wakapigwa 3-0 na Asec katika uwanja wa Uhuru, wakaenda Afrika Kusini wakapigwa 4-0 na Manning Rangers.

Walipoteza pia ugenini 2-1 dhidi ya Asec. Matokeo 1-1 dhidi ya Manning na 3-3 dhidi ya Raja katika uwanja wa Uhuru yalikuwa mazuri zaidi kwao katika michezo 6 ambayo walimaliza wakiwa wameruhusu magoli 19 na kufunga magoli matano tu.

Naamini hili halitajirudia na Yanga haitakuwa tena ‘jamvi la wageni’ katika michuano ya CAF.

Kuelekea kwenye hatua hii ya Robo fainali Yanga imeingia na miamba ya Soka toka ukanda wa Afrika Kaskazini, pia wapo Mabingwa wa zamani wa Klabu Bingwa Afrika TP Mazembe toka DRC Congo.

FUS Rabat, Kawkab Marrakech zote za Morocco, Etoile du Sahel ya Tunisia, Ahli Tripoli ya Libya na MO Bejaia ya Algeria, Medeama ya Ghana ambazo zinasubiri kupangwa katika makundi mawili ya michuano hiyo.

Yanga imepiga hatua sana ndani ya uwanja, katika utawala na mashabiki wanatembea kwa majigambo kwa kuwa wanaona kazi inayofanywa na timu yao na hiyo imejitikoza jana baada ya maelfu ya mashabi na wanachama wa klabu hiyo kujitokeza Uwanja wa Ndege kuwapokea mashujaa wao wakitokea Angola kupitia Afrika ya Kusini.

Yanga SC ilikuwa ‘jamvi la wageni’ 1998, sasa watakuwa wababe wa michuano kwa maana wana timu nzuri iliyosheheni wachezaji bora, Kocha mzuri Hans Pluijm na Msaidizi wake Juma Mwambusi , Uongozi mzuri chini ya Mwenyekiti Yusuph Manji na Makamu wake Clement Sango, na timu kiumjumla ni bora huku Meneja wa Timu akiwaunganisha vema wachezaji na Uongozi.

Yanga haitaishia hatua ya makundi tu, imani yangu ni itasonga mbele zaidi ya hapo na watavunja rekodi zao wenyewe.

Lakini licha ya Yanga kuwa Bora naomba Uongozi wa Yanga na Benchi la ufundi waweze kutuma scouts wao haraka na kuweza kuwaangalia/kuwafuatilia wachezaji hawa wafuatao ambao wanaweza kuwasaidia kwenye michuano hii.

Yanga wana nafasi ya kuongeza wachezaji 3 kwa lengo la kuboresha timu yao.
Hiki sio kipindi cha kubana matumizi maana Yanga sasa kuingia hatua hii wamepata MAMILIONI YA SHILINGI toka Shirikisho la Soka Barani Africa CAF.

Binafsi toka Yanga waweze kuisumbua Al Ahly ya Misri nilitegemea wataingia hatua hii baada ya kuondoshwa kule Klabu Bingwa Afrika.

Niliamua kuanza kuwafuatilia wachezaji wanaocheza soka kwenye Bara la Afrika katika Ligi mbalimbali.
Ni hawa wafuatao..........

DEFENSIVE MIDFIELDERS:
1. Gentil Ndossa - Etoile Congo
2. Djihad Bizimana - APR
3. Vado Dias - Recreativo Libolo
4. Amil Kamal - Al Merreikh
5. Mahame Cisse - AC Leopards
6. Themba Zwane - Mamelodi Sundowns

NB: Kwenye kundi hili Yanga wanapaswa kuchagua mchezaji mmoja wa kuweza kusaidia kiungo wa Ulinzi.

ATTACKING MIDFIELDERS:
1. Anael Bakaki - Etoile Congo
2. Patrick Sibomana - APR
3. Carlos Rocha (RUDY) - Recreativo Libolo
4. Augustine Okrah - Al Merreikh
5. Souleymane Traore - SM Bamako
6. Khama Billiat - Mamelodi Sundowns

NB: Kwenye kundi hili Yanga wanapaswa kuchagua mchezaji mmoja wa kuweza kusaidia Kiungo Mshambuliaji( Namba 10)

FORWARD STRIKERS:
1. Didier Libere - Al Merreikh (apewe mkataba mfupi tatizo umri)
2. Trevor Mukendi - AC Leopards
3. Leonardo Castro - Mamelodi Sundowns
4. Christ NGOMA Mbo - Etoile Congo
5. Bienvenue Mugenzi - APR
6. Alfredo Ribeiro (FREDY) - Recreativo Libolo

NB: Kwenye kundi hili Yanga wanapaswa kuchagua mchezaji mmoja wa kuweza kusaidia eneo la Ushambuliaji.

ANGALIZO: Huu sio wakati wa Mabingwa hao wa VPL kubweteka na kulewa sifa, kikubwa ni kujipanga na maandalizi ya hatua hii kwa undanj na umakini wala sio Zimamoto.

Nina imani na falsafa ya Mwalimu Hans Pluijm na Msaidizi wake Juma Mwambusi ambaye napenda kumuita MZEE WA PHYSIC.

KILA LA HERI YANGA WAWAKILISHI PEKEE WA TANZANIA NA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI.

DAIMA MBELE, NYUMA
MWIKO!
hapo kwenye defensive midfielder Yousof Sabo anatosha mkuu
 
Back
Top Bottom