TFF waandika broken English tena

Walikuwa na haraka gani wasihariri?
 
Hivi hata hao waingereza huwa hawakosei uandishi?

Maana wabongo ukiandika kiingereza basi usikosee uandishi utaambiwa hujui kiingereza.
 
Pia alikuwa anakimbilia kuwa wa kwanza post,alishindwa hata kuhariri
 
Ni kwel kabisa ulichosema/waza Lakin kosa lao ambalo linajirudia mara nyingi ni KUTOKUHAKIKI(KUEDIT) KAZI zao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…