TFF:Simba mlizikataa wenyewe pesa za Twite sasa mbona kero? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF:Simba mlizikataa wenyewe pesa za Twite sasa mbona kero?

Discussion in 'Sports' started by CHAI CHUNGU, Oct 22, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ni kauli iliyotolewa na TFF leo na kuwataka simba wawe wapole maana hakuna kanuni ya TFF inayoilazimisha Yanga kuwalipa simba maana simba walipeana pesa na Twite kihuni.
  Na simba wamejibu mapigo kwamba sasa wanaingia mtaani kumsaka Twite ili awalipe chao.Yanga nao wajibu kwamba wakimkamata Twite basi wao watatoa report fifa kwamba simba walifanya mazungumzo na mchezaji mwenye mkataba na kumrubuni aikache timu yake.
  Chanzo:VYOMBO VYA HABARI LEO JIONI.
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Subiri waje hapa utaona watakavyowatuhumu hao mnaowaita TFF kuwa ni Yanga damu,subiri tu...
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wakubali wamekula hasara tu simba
   
 4. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Wamkamate kwa kosa lipi ni hizo FAULO anazopiga sasa ndio zimewatoa roho.
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  nilivyosikia yanga wanalala mzungu wa 4 nikaqjuwa kabsaaa hatutalipwa pesa yetu maana timu yenyewe haina pesa ya kulipia chumba cha kulala itaweza maelfu ya dollar tunazowadai???... Sio mbaya ukimsaidia mtani wako hasa anaeyumba kipesa. Mtani chukuwa pesa hiyo wala hatutakudai tena maana umezidiwa madeni mpaka basiiii tukikupeleka fifa utafungiwa maisha.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Imekuwaje sasa?
   
 7. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  pole sana naitaji upeleke rambirambi pale lubumbashi
   
 8. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe jipe moyo tuu,hiyo hasara umeshapata,hata fifa wanaiogopa yanga kwa sababu yanga inadaiwa na fifa pia si unaona hilo.
   
 9. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Yanga, Mbuyu Twite na TFF wanapaswa kuilipa Simba fedha zao. Muungwana yeyote hawezi kuukwepa ukweli huu
   
 10. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Kwani Yanga walipata mgawo chini kiasi gani?
   
 11. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180

  Issue sio nani alipata mgawo, ila ni maamuzi ya kamati kuitaka Yanga irudishe fedha hizo
   
 12. h

  handboy Senior Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yanga cccccm acheni mbwembwe soka la maneno mpaka lini(sababu ya kudumaa kwa soka la bongo
   
 13. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Kwani Simba waliwalipa Yanga? Walete vielelezo wapatiwe mkwanja wao.
   
Loading...