TFF ni chombo ya Simba

TFF ni chombo ya Simba

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.

TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja wa KMC kutoka Tabora ni kuipendelra simba kuliko KMC. Kuna wakati Simba ilikuwa na viporo 11 vya ligi eti kwasababu inashiriki CAF, Kuna timu zinaporwa wachezaji wake na Simba bila utaratibu kwa baraka za TFF, timu kusajili wachezaji 10 wa kigeni asili yake ilikuwa kuinufaisha Simba wakati ule yanga inatembeza bakuli baada ya Manji kujitoa kuifadhili yanga. Ratina za mechi za igi pia zinailenga. Simba.

Kashindwa kutenda haki TFF ataweza CAF?
 
Sometimes Tunajaza Serva zaJ amii forum Bila sababu za Msingi.

Gharama zinazolipwa kwaajili ya serva ni nyingi sana.

Tukikuuliza Body ya ligi ni nini na inapatikanaje unawezakutuambia????

Ama tukikuuliza viongozi wa TFF wanapatukanaje Unaweza Kutuambia????
 
Inahusiana nini na mwenyekiti wa bodi mguto saa nne asubuhi kusema derby ipo,saa sita mchana kutangaza derby hakuna!?.. mguto ni kiongozi coastal union na coastal union ni tawi la simba
 
Ingekuwa ni chombo cha simba,Yanga msingetwaa ubingwa mara 4 mfululizo
 
Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.

TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja wa KMC kutoka Tabora ni kuipendelra simba kuliko KMC. Kuna wakati Simba ilikuwa na viporo 11 vya ligi eti kwasababu inashiriki CAF, Kuna timu zinaporwa wachezaji wake na Simba bila utaratibu kwa baraka za TFF, timu kusajili wachezaji 10 wa kigeni asili yake ilikuwa kuinufaisha Simba wakati ule yanga inatembeza bakuli baada ya Manji kujitoa kuifadhili yanga. Ratina za mechi za igi pia zinailenga. Simba.

Kashindwa kutenda haki TFF ataweza CAF?
Bugia maji lita mbili urudi kwenye normal mode.
 
Nyinyi mashabiki maandazi ni manafiki Sana. Hivi wewe utaona Sawa na kufurahia timu yako ya Uto ikiambiwa iende ikacheze mechi sokoine Mbeya Kwa mechi iliyopaswa kuchezwa Dar?
 
Pamoja na huko kubebwa kwao, ila mwisho wa siku ubingwa utaenda tu kwa Wananchi. Watake wasitake.
 
Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.

TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja wa KMC kutoka Tabora ni kuipendelra simba kuliko KMC. Kuna wakati Simba ilikuwa na viporo 11 vya ligi eti kwasababu inashiriki CAF, Kuna timu zinaporwa wachezaji wake na Simba bila utaratibu kwa baraka za TFF, timu kusajili wachezaji 10 wa kigeni asili yake ilikuwa kuinufaisha Simba wakati ule yanga inatembeza bakuli baada ya Manji kujitoa kuifadhili yanga. Ratina za mechi za igi pia zinailenga. Simba.

Kashindwa kutenda haki TFF ataweza CAF?
Wakati mnachukua kombe mara 3 mfululizo TFF hii hii ilikuwa chombo ya nani??
 
Ila Yanga kachukua ubingwa mara tatu mfulizo na anaongoza ligi.
 
Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.

TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja wa KMC kutoka Tabora ni kuipendelra simba kuliko KMC. Kuna wakati Simba ilikuwa na viporo 11 vya ligi eti kwasababu inashiriki CAF, Kuna timu zinaporwa wachezaji wake na Simba bila utaratibu kwa baraka za TFF, timu kusajili wachezaji 10 wa kigeni asili yake ilikuwa kuinufaisha Simba wakati ule yanga inatembeza bakuli baada ya Manji kujitoa kuifadhili yanga. Ratina za mechi za igi pia zinailenga. Simba.

Kashindwa kutenda haki TFF ataweza CAF?
Kama TFF inawaonea ni kesi gani mlipeleka mamlaka za nje yaani CAF na CAS mkashinda kila mchezaji anawaburuza mahakamani.

Wakati jamal malinzi ana ongoza TFF alisema kabisa kuwa simba hawatashinda ligii kuu mpaka aondoke sasa hivi yuko jela kwa jeuri zake na kibri.
 
Sometimes Tunajaza Serva zaJ amii forum Bila sababu za Msingi.

Gharama zinazolipwa kwaajili ya serva ni nyingi sana.

Tukikuuliza Body ya ligi ni nini na inapatikanaje unawezakutuambia????

Ama tukikuuliza viongozi wa TFF wanapatukanaje Unaweza Kutuambia????
Huna akili ya biashara ya mtandao wewe , hujui hela yao wanaipataje
 
Ni kweli kabisa imemruhusu mdhamini wake Mkuu kudhamini timu nyingine 8 ambalo kabla hata timu hajacheza mechi 1 ya ligi tayari ana point 48 kibindoni🙃.
 
Wazee wa Chapati na supu sio watu wa kuwaamini sana.
 
Back
Top Bottom