mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,609
- 57,693
Timu zilizofungwa sana magoli mengi ni zile ambazo hazikudhaminiwa na yule bwana, inashangaza kidogoNi kweli kabisa imemruhusu mdhamini wake Mkuu kudhamini timu nyingine 8 ambalo kabla hata timu hajacheza mechi 1 ya ligi tayari ana point 48 kibindoni🙃.