TFF na kamati zake zote Kwa maksudi zimeamua kuhujumu Yanga

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba

Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga

Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi

Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia Yanga angle ngumu

Rais Karia sio mara ya kwanza anatuhujumu Young Africans, mara kadhaa amekuwa akifungia viongozi, kubambikizia faini na kuipa Yanga ratiba ngumu, huku timu yake ya 5imba ikipangiwa ratiba rahisi na kupewa rundo la vipolo

TFF na bodi ya ligi wamekuwa wakiwapa Simba waamzi wa kuwabeba Kwa kuwapa penalties na kunyonga timu pinzani Kwa red card

TFF wamejaa wahuni na wapo kuhujumu Yanga
 
Mkuu ni saa $ita sasa amka ukokoyole.
 
Mwanasheria wa utopolo ndo maana halisi ya mtumishi hewa jamaa hajawahi kushinda kesi yoyote, hata akienda mahakamani na jiwe lisiloongea bado jiwe litashinda kesi
 
Kesi ipo wazi
Kesi inarejea TFF ili watoe nakala ya hukumu halafu tuwawashie moto
 
Tff haitoi nakala mtatumia mbinu gani na mwanasheria wenu ni kilaza?
Kuna kesi isiyohikumiwa au kutolewa maamzi?
Yanga anapeleka shitaka kesho na nakala ya ushauri kutoka CAS
TFF wapitie watoe hukumu na nakala na asiyeridhika na maamzi skate rufaa CAS

Nitawafundisha mpaka lini nyie mbumbumbu
 
Ni maamuzi na siyo maamzi✖️ kwa akili hizo mtacheza sana viwanja vya gombani pemba , kimataifa mtaisikia tu
 
Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba

Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga

Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi

Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia Yanga angle ngumu

Rais Karia sio mara ya kwanza anatuhujumu Young Africans, mara kadhaa amekuwa akifungia viongozi, kubambikizia faini na kuipa Yanga ratiba ngumu, huku timu yake ya 5imba ikipangiwa ratiba rahisi na kupewa rundo la vipolo

TFF na bodi ya ligi wamekuwa wakiwapa Simba waamzi wa kuwabeba Kwa kuwapa penalties na kunyonga timu pinzani Kwa red card

TFF wamejaa wahuni na wapo kuhujumu Yanga
Mtazikumbuka 5 za Simba sana. Timu kubwa ambayo mnataka kucheza nayo na kuifunga ni Simba. Zingine hamna uwezo nazo
Itabidi muandamane ili ile sheria ya CAF irudi ili ukitolewa CAF champion league unaenda shirikisho
 
Back
Top Bottom