Tuzo Za Shirikisho La Mpira Wa Miguu Tanzania (TFF ) 2022/2023

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,358
9,230
Salute Wana JF..

Ama baada ya salamu twende kwenye mada moja Kwa moja Leo TFF imetoa baadhi ya majina na categories ambazo wachezaji watawania tuzo mbalimbali kutokana na viwango walivovionesha msimu huu wa 2022/23.

Hapa tutaangalia kila kategori na washindani kisha tutatoa maoni nani anastahili na kwanini.. Tafadhali Sana itapendeza kama tutaweka pembeni ushabiki na kuongelea uhalisia ..

Tuzo zimegawinyika Katika makundi matano
1. Tuzo ya kombe la shirikisho la Azam (FA)
2. Tuzo ya ligi kuu wanawake
3. Tuzo Ligi kuu NBC
4. Tuzo ya Utawala
5. Tuzo Ya ligi nyingine

Ila Uzi huu utaenda moja Kwa moja Katika ligi kuu NBC Pamoja na kombe la shirikisho la Azam FA.

KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM...

A. Kipa Bora
1. Benedict Haule - singida big stars
2. Djigue Diarra - Yanga
3. Addulai Idrisu - Azam

B. Mchezaji Bora
- bado wahajatangazwa

C. Mfungaji Bora
- ni Yule Atakaye funga Goli nyingi kuliko wote
1. Andrew simchimba Goli 7 ihefu
2. Clement Mzize Goli 6 Yanga
3. Abdul Suleiman Goli 3 Azam

TUZO ZA LIGI KUU NBC

A. Mchezaji Bora
1. Mzamiru Yassin - Simba
2. Fistoni Mayele - Yanga
3. Bruno Gomez - Singida BS
4. Djigue Diarra - Yanga
5. Saido Ntibazokiza - Geita/Simba

B. Kipa Bora
1. Djigue Diarra - Yanga
2. Aishi Manula - Simba
3. Benedict Haule - Singida BS

C. Beki Bora
1. Dickson Job - Yanga
2. Henock Inonga - Simba
3. Bakari Mwamnyeto - Yanga
4. Shomari Kapombe - Simba
5. Mohamed Hussein - Simba

D. Kiungo Bora
1. Bruno Gomez - Singida BS
2. mzamiru Yassin - Simba
3. Stephanie Aziz Ki - Yanga
4. Clatus Chota Chama - Simba
5. Saido Ntibazokiza - Geita/Simba

E. Kocha Bora
1. Nasreddine Nabi - Yanga
2. Hans Pluijm - Singida BS
3. Roberto Oliveira - Simba

F. Meneja Bora wa Uwanja
1. Omary Malule - Highland estate mbeya
2. Hassan Simba - Liti Singida
3. Amir Juma - Azam Complex Dar

G. Chipukizi Bora
1. Clement Mzize - Yanga
2. Edmund John - Geita Gold
3. Lameck Lawi - Coastal Union

H. Kikosi Bora
- kitatangazwa siku ya tuzo

-------
------

O. Goli Bora
- Bado hayajatangazwa

P. Mfungaji Bora
Mshindi ni Yule Atakaye funga Goli nyingi kuliko wote
1. Fistoni Mayele 16
2. Mosses Phiri 10
3. Saido Ntibazokiza 10

Karibuni wadau tutoe maoni Kwa kuzingatia weredi japo ushabiki hauepukiki lakini tusiupe nafasi...

Pia kama kuna mtu unaona alistahili Ila hakutajwa unaweza kuongeza. Kwa mfano Mimi upande wa kiungo ingepezwa pia kama ningeona jina la James Akaminko pia Khalid Aucho...[/b]
 
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM...
Kipa Bora
Djigue Diarra - Yanga(anadeserve mdaka mishale wa jangwani)
Mfungaji Bora
Clement Mzize Yanga(dogo Yuko vizuri na bila Shaka msimu ujao atakuwa Moto zaidi endapo akiacha utoto uwanjani)

TUZO ZA LIGI KUU NBC
Mchezaji Bora

1:Fistoni Mayele - Yanga(amekuwa na muendelezo wa performance nzuri kutoka msimu ulioisha Hadi HIVI SASA)

2:Bruno Gomez - Singida BS(amekuja msimu huu lakini kafanya mambo makubwa pale singida )

3:Saido Ntibazokiza - Geita/Simba(Mimi ni yanga Ila saido amekuwa ni mchezaji mzuri Sana tangia alivyokuwa yanga,alivyoenda Geita na sasa Simba alipo)

4&5:Diarra na mzamiru sidhani kama wamefanya maajabu Sana hata ya kumzidi chama yakuwafanya wapewe hadhi yote hii japo wamepambana Kwa nafasi yao.

Kipa Bora
Djigui diarra-iko wazi inajulikana

Beki Bora
Job Dickson

Kiungo Bora
Chama-anadeserve kuichukua hii tuzo
Bruno-ikiwa chama wataona hawafai basi wampe huyu mbrazil
Aziz ki-bado Sana maana hata robo ya kiwango chake hajakionesha hivyo tumngojee msimu ujao.

Kocha bora-Professeur Nabi anadeserve
Meneja Bora wa uwanja
Nadhani Yule wa Highland estate anafaa na ilibidi apewe uwanja WA mkapa.

Chipukizi
Mzize

NAPOKEA CRITICISM
 
Mchezaji bora - F.K Mayele

Kipa bora - Djigie Diarra

Bekibora - Ibrahim Bacca/Djuma Shaban/Bakari Nondo Mwamnyeto

Kiungo bora - Stephane Aziz Ki/Khalid Aucho

Kocha bora - Le Proffeseri bin Nabi

Chipukizi - Clement Mzize

Mfungaji bora - FK Mayele

Goli bora - Bernad Morrison dhidi ya Kagera Sugar/Aziz Ki dhidi ya Kagera Sugar
 
Beki Bora nadhani bado Inonga anastahili coz kaibeba Sana Simba pamoja na Simba kusua sua msimu huu lakini still jamaa kaipambania Sana timu... Tazama ukuta wa Kati pale Simba hebu vuta picha Inonga hayupo nini kingemkumba mnyama?

Lakini Kwa Dickson Job pia alikua na msimu mzuri Ila hapa Kati ni kama alikuja kupotezwa na ubora wa Ibra Bacca kiasi kwamba Hadi Nasreddine Nabi akambadilisha nafasi sahivi ni full beki wa kulia so mi namkata maksi...

Pengine tupo pamoja
 
Mchezaji bora
Saidio

Kipa
Mdaka mishale

Kiungo
Chama

Beki
Shabalala

Mfungaj bora
Wa huko UTO

Kocha
Wa huko UTO
Hapo kwenye mchezaji bora umepuyanga pakubwa. Maana Mayele hana mpinzani. Tuzo karibia zote zitaenda kwa Wananchi.

Walau kwenye kiungo bora, ndiyo tutampa huyo kiungo wenu konokono.
 
Mchezaji bora - F.K Mayele

Kipa bora - Djigie Diarra

Bekibora - Ibrahim Bacca/Djuma Shaban/Bakari Nondo Mwamnyeto

Kiungo bora - Stephane Aziz Ki/Khalid Aucho

Kocha bora - Le Proffeseri bin Nabi

Chipukizi - Clement Mzize

Mfungaji bora - FK Mayele

Goli bora - Bernad Morrison dhidi ya Kagera Sugar/Aziz Ki dhidi ya Kagera Sugar

Hizi zitakua tuzo za Jangwani
 
Hapo kwenye mchezaji bora umepuyanga pakubwa. Maana Mayele hana mpinzani. Beki Bora tutampa Ibrahimu Abdallah aka Bacca!

Walau kwenye kiungo bora, ndiyo tutampa huyo kiungo wenu konokono.
Bacca hayupo hata kwenye nomination
 
Mchezaji bora - F.K Mayele

Kipa bora - Djigie Diarra

Bekibora - Ibrahim Bacca/Djuma Shaban/Bakari Nondo Mwamnyeto

Kiungo bora - Stephane Aziz Ki/Khalid Aucho

Kocha bora - Le Proffeseri bin Nabi

Chipukizi - Clement Mzize

Mfungaji bora - FK Mayele

Goli bora - Bernad Morrison dhidi ya Kagera Sugar/Aziz Ki dhidi ya Kagera Sugar
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we umezidisha ushabik 😂😂😂😂 note saidoo achukue kiungo bora
 
Kabisa hadi aibu
Binafsi mie mzamiru kanikalia kushoto, sio hajui mpira Bali mpira wake umeisha, kabaki na upunda wake tu, simba katika eneo tunapaswa turekebishe msimu ujao tuepuke dharau basi ni hapa kwenye viungo 6 na 8..
Issa ndala lile la azam
Aucho the tank
Yusufu kagoma
Na wengine wengi.
 
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM...
Kipa Bora
Djigue Diarra - Yanga(anadeserve mdaka mishale wa jangwani)
Mfungaji Bora
Clement Mzize Yanga(dogo Yuko vizuri na bila Shaka msimu ujao atakuwa Moto zaidi endapo akiacha utoto uwanjani)

TUZO ZA LIGI KUU NBC
Mchezaji Bora

1:Fistoni Mayele - Yanga(amekuwa na muendelezo wa performance nzuri kutoka msimu ulioisha Hadi HIVI SASA)

2:Bruno Gomez - Singida BS(amekuja msimu huu lakini kafanya mambo makubwa pale singida )

3:Saido Ntibazokiza - Geita/Simba(Mimi ni yanga Ila saido amekuwa ni mchezaji mzuri Sana tangia alivyokuwa yanga,alivyoenda Geita na sasa Simba alipo)

4&5:Diarra na mzamiru sidhani kama wamefanya maajabu Sana hata ya kumzidi chama yakuwafanya wapewe hadhi yote hii japo wamepambana Kwa nafasi yao.

Kipa Bora
Djigui diarra-iko wazi inajulikana

Beki Bora
Job Dickson

Kiungo Bora
Chama-anadeserve kuichukua hii tuzo
Bruno-ikiwa chama wataona hawafai basi wampe huyu mbrazil
Aziz ki-bado Sana maana hata robo ya kiwango chake hajakionesha hivyo tumngojee msimu ujao.

Kocha bora-Professeur Nabi anadeserve
Meneja Bora wa uwanja
Nadhani Yule wa Highland estate anafaa na ilibidi apewe uwanja WA mkapa.

Chipukizi
Mzize

NAPOKEA CRITICISM
Sasa unawezaje kumuweka Warid Mzize kuwa mfungaji vora wakati amezidiwa magoli na Simchimba?
 
Hapo kwenye mchezaji bora umepuyanga pakubwa. Maana Mayele hana mpinzani. Tuzo karibia zote zitaenda kwa Wananchi.

Walau kwenye kiungo bora, ndiyo tutampa huyo kiungo wenu konokono.
Bangi uliyovuta ni mbichi ungeiacha ikauke kwanza......

Huyu mayele unayempigia chapuo anafaa kuwa mfungaji bora kwasababu ana magoli mengi ila kazidiwa takwimu za jumla na Saido Ntibazonkiza hivyo kwenye kipengele cha uchezaji bora atuache kidogo,uchezaji bora sio kutingisha manyonyo tu
 
Back
Top Bottom