Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,284
- 3,016
Ni jambo lililowazi kabisa TFF na bodi ya ligi wanataka kuhakikisha Simba inabeba ubingwa msimu huu. Upangaji wao wa ratiba unatia mashaka sana kwanini nimesema haya?
1) Raundi ya kwanza waliiweka Yanga fixture ngumu back to back hadi kuja kukutana na mechi ya derby dhidi ya Simba na bado hapo hapo bila kupumzika anatakiwa aende Mkwakwanu Tanga lakini uzuri Yanga hawakunasa kwenye huo mpango wao.
2) Jambo la pili ni hiki kiporo cha Simba kisichochezeka, TFF walikuja na ratiba ya viporo na mechi za raundi ya pili, lakini cha kushangaza Yanga asiyekuwa na viporo vingi akacheza idadi sawa na Simba mwenye viporo vingi zaidi.
Yanga alicheza mechi tano dhidi ya Kagera, Dodoma jiji, Mashujaa, Prisons na KMC huku alkadhalika Simba akacheza mechi tano dhidi ya Mashujaa, Tabora, Azam, Geita, JKT Tanzania
Baada ya ratiba hiyo, timu zote mbili zikaenda kwenye michezo ya kimataifa hivyo wakasimama kucheza michezo ya ligi kuu. Ila jambo la kushangaza ni kuona baada ya kutoka kwenye michezo ya CAF, TFF na bodi ya ligi ya ligi wakipanga ratiba ya kuendeleza kiporo kwa Simba badala ya kuhakikisha Simba na Yanga na Azam wanakuwa na idadi sawa za mechi.
Kiusahihi kulikuwa hakuna sababu ya kuwepo mechi ya Azam vs Yanga tarehe 17.
Azam mpaka sasa ameshacheza mechi 20 sasa kuna sababu gani ya Azam akacheze raundi ya 21 wakati bado timu ingine inaingia mapumzikoni wakiwa hawajacheza raundi ya 20? Kwanini Yanga aingie mapumzikoni ya ligi kwa kucheza mechi ya raundi ya 20 wakati Simba inaenda mapumzikoni wakiwa wamecheza mechi pungufu kuliko wote?
Leo baada ya hii mechi ya Simba vs Mashujaa, mechi za ligi ilitakiwa ihitimishwe na timu zote ziende mapumziko kwa Simba na Yanga wote kucheza michezo 19 kila mmoja huku Azam wakiwa na michezo 20 hivyo ni tofauti ya mchezo mmoja.
Kama lengo ni kumaliza viporo basi kiporo cha Simba dhidi ya Mtibwa kingemalizwa March18 huku Yanga akimaliza kiporo chake dhidi ya JKT Tanzania tarehe 17 March. Kwa kufanya hivyo, ligi ingesimama kwa timu ya Yanga, Simba na Azam kuwa sawa sawa kimchezo wote wangekuwa wamecheza michezo 20. Ila kwavile mmeamua kutengeneza ratiba ya kutaka timu fulani iwe nyuma kwa idadi ya mechi na fulani ziwe mbele haya endeleeni na mkakati wenu