OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,239
- 103,913
Mnyero mnapenda kulalamika kama nyie amfanyi huo uhuni!View attachment 1638114
Mnataka wafanye nini tena ndio mchukue hatua kali. Wapeni adhabu ya kutoingia uwanjani msimu mzima. Haiwezekani watu na akili zetu tunaenda kuangalia soka tunakutana na mambo ya kipumbavu toka kwa watu wale wale.
Nashauri klabu yangu ya Simba Sc itafakari namna ya kuzuia mashabiki wa Yanga kwenye mechi zake
Mnyero mnapenda kulalamika kama nyie amfanyi huo uhuni!
Nyani haoni KunduleMnyero mnapenda kulalamika kama nyie amfanyi huo uhuni!
Tusiwaone kwenye mechi yetu na plateauWw una eneo lako unakuja kwetu kufanyaje mkuu sis mbon hatuj kwenu haya mnakuja kwetu unaanza Kuropoka utopolo hamtok Leo unatak nn
Mkuu, umesahau kuwaambia wana Simba wenzio wasiende mechi za Yanga.
Mnataka wafanye nini tena ndio mchukue hatua kali. Wapeni adhabu ya kutoingia uwanjani msimu mzima. Haiwezekani watu na akili zetu tunaenda kuangalia soka tunakutana na mambo ya kipumbavu toka kwa watu wale wale.
Nashauri klabu yangu ya Simba SC itafakari namna ya kuzuia mashabiki wa Yanga kwenye mechi zake
Hawa ndio vibaka kabisaUtopolo kumejaa wahuni.
Hilo suala la shabiki wa Simba kuhudhuria games za Yanga na kinyume chake,mbona ni jambo la kawaida sana na lipo enzi na enzi? Nadhani mna stress fulani zinazowafanya muone hili jambo kuwa halikubaliki, nadhani ni kwavile hamjiamini.Mkuu, umesahau kuwaambia wana Simba wenzio wasiende mechi za Yanga.
Mwana Simba kwenda mechi za Yanga na kumwaga mitusi ni kujitafutia mkong'oto.
Eti shabiki wa Liverpool aende kutukana mechi ya Man U ikicheza na Chelsea.
Muda si mrefu itakuwa hivyo. Stay away from games that are not your business.
Huwezi kuona logic sasa hivi kwa sababu bado tupo kwenye ujima .Hilo suala la shabiki wa Simba kuhudhuria games za Yanga na kinyume chake,mbona ni jambo la kawaida sana na lipo enzi na enzi? Nadhani mna stress fulani zinazowafanya muone hili jambo kuwa halikubaliki, nadhani ni kwavile hamjiamini.
Kuhusu mkao jukwaani; wewe unajua vyema kuwa pale uwanjani kuna (A)sehemu ya mashabiki wa Simba tu, (B)sehemu ya mashabiki wa Yanga tu, na (C)sehemu ya mashabiki mchanganyiko . Na hii kadhia mara nyingi inatokea hapo jukwaa C (maana hakuna shabiki mwenye akili timamu wa Simba anaweza kwenda jukwaa B, hali kadhalika wa Yanga kwenda jukwaa A, na kuanza kutukana - atakuwa hajipendi). Sasa ukiangalia kwa makini:migogoro imekuwa inatokea jukwaa 'C' sehemu ambayo yeyote anaruhusiwa kukaa na kutukana atakavyo. Sasa nyie mnataka ku-monopolize na jukwaa C? Mtakuwa na matatizo mahala.
Halafu eti unasisitiza;kwanini mtu aende kwenye mechi isiyomhusu? Hapo wala hata hakuna logic. Unataka kuniambia kwamba wikiendi ijayo Yanga hawatajitokeza kuishabikia Plateau United ya Nigeria? Kama juzi tu mlikuwa mnatoa unabii uliofeli dhidi ya Simba, na bado mmenunua jezi za Plateau mtashindwa kuibuka kwa Mkapa kuja kuizomea Simba?
Tunawakaribisha kwa Mkapa siku hiyo maana zomea zomea yenu ndo itatupa mzuka zaidi wa kuwaumiza hao Wanigeria wenzenu. Sisi hatutawafanyia vurugu ili mpate kujifunza somo la uvumilivu (tolerance) kuhusiana na kejeli za wapinzani kwenye soka.