Hii tabia ya kuruhusu viwanja mwanzoni mwa msimu halafu baadaye kuvifungia wakati ligi inaendelea siyo jambo zuri. Wakishakagua uwanja na kuupitisha basi wangoje hadi msimu uishe ndipo wautolee uamuzi mwingine.
Nahisi ile ishu ya Kibwana Shomari kubebwa msobe msobe mikononi mwa mtu ili kupelekwa kwenye gari la ambulance ndiyo iliyopelekea kufungiwa kwa huo uwanja.