Za kitambo hizo. Unaona hapo kuna nafasi timu ziligongana point so walikuwa wanasubiria wakikutana head to head or other alternative ili kupata namba kamili. Hapo utaona kuna timj mbilimbilli zipo kwenye position moja. Current data ssc ipo top 10 au 11 bora sikumbuki vzr
Unadhani TFF wangebariki kama mdhamini hajaridhia?Vipi kuhusu timu moja kukataa kuvaa Logo yenye rangi rasmi za mdhamini wa Ligi Kuu na haohao tiefuefu wakabariki badala ya kumheshimu na kumtetea mdhamini aliyeweka hela zake kwenye ligi kwaajili ya kupata promosheni kwenye matangazo yake?, sasa huo si upendeleo maalamu kabisa huu... Alafu mechi haijafutwa hiyo, acha wenge busara zitumike....
Coward babra aliyefanya umalaya na wachezajiOfisi za TFF hujui ziliko? Kwa nini usipeleke malalamiko yako huko? Coward
Acheni busara zifanye kazi yake ko game ya mbeya jiji kusogezwa mlitaka nani aridhie ndo isogezwe?....Unadhani TFF wangebariki kama mdhamini hajaridhia?
Hata Yanga ikialikwa kucheza mechi na timu ya UEFA, TFF haina shida, itaahirisha mechi zake. Tatizo Yanga haipati mialiko 🤣🤣🤣TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele,
Ulimshikia miguu?Coward babra aliyefanya umalaya na wachezaji
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC miaka 100 yenyewe kuiona ni ngekewa, sembuse miaka buku?Pesa inaongea. Halafu simba haitokuwa daraja moja sawa na utopolo miaka buku
Achana na huyo Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC atakupotezea muda, kwanza elimu yenyewe unampa bure ilihali hakuna kabisa cha bure duniani kote.Ukubwa wa timu unapimwa kwa umri wake tangu ilipoanzishwa, fan base yake, na wingi wa mataji!
Leo hii nikikuuliza Man City, Real Madrid, au Barcelona zinashika nafasi ya ngapi Ulaya/duniani! Utakuwa na majibu? Lakini ukifuatilia mwaka wake wa kuanzishwa na mataji iliyochukua; ndipo utapata majibu kama ni timu kubwa, au la.
Povu fulia chupi zakoLeo hii nimegundua mpira wa Tanzania unaendeshwa kwa rushwa na kupendelea Simba
Kushangilia Makolokolo kushika nafasi ya ngapi bila kombe lolote la Klabu Bingwa Africa au Shirikisho ni utaahira uliochangamka.Hiyo timu kubwa ya utopolo inashika nafasi ya ngapi kwenye rank za FIFA/CAF? au Utasema rank ni ujinga kwasababu inashika nafasi ya 78?
View attachment 2480447
Nenda kapige nyetoPovu fulia chupi zako
Utopolo timu ndogo sana AfricaKushangilia Makolokolo kushika nafasi ya ngapi bila kombe lolote la Klabu Bingwa Africa au Shirikisho ni utaahira uliochangamka.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app