Ndomaana amesema "iachane" na adhabu za kishamba.Umezungumza vitu viwili tofauti epl na nbc apo kila lig ina kanuni zake kwahyo utaadhibiwa vile kanuni znataka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh sio kwa kichefu chefu hicho, vipi nikuleteee diapers utapike???Haji Manara amejaliwa mdomo mchafu! Atawezaje kukaa kimya? Yaani umfungie kusema mtu kama Haji Manara kweli! Mzee wa kukera!!
Aendelee tu kuwanyoosha hao TFF, Msomali Karia, na mbumbumbu wenzake waliomfundisha kutukana watu hovyo, na kutapika tapika tu maneno machafu.