TFF acheni 'Kutubeba' Kizembe hivi Simba SC. Kwanini hatuchezi 'Kiporo' chetu kabla ya Kucheza na Azam FC tarehe 1 Januari, 2022?

Spurs anacheza viporo?au anacheza mechi zilizo kwenye ratiba?
Ana kiporo na burnley cha tangu november,ana kiporo cha brighton ,pia na hizi zote bado hazijapangiwa tarehe....acheni mihemko,
Wacha ratiba zifuatwe then itakapoonekana inafaa viporo vitachezwa...
Nasisitiza muangalie kanuni zinazohusu postponed match na sio kukurupuka na kuleta mihemko ya matakwa yenu binafsi,hatufuati matakwa bali kanuni zinazoendesha soka.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Spurs anacheza baada ya siku tatu utampangia viporo sahivi wakati ratiba iko tight?
Twende kwa simba ana wiki zima(siku7) huoni kama simba ana ratiba nyepesi na muda wa kucheza hicho kiporo tofauti na ratiba aliyo nayo spurs?
Ukweli uko palepale tunadekezwa.
 
Huyu spurs unae msemea kacheza juzi leo tena anacheza na jumamos anacheza tena.
Huyo man utd kacheza jana anacheza Alhamis na juma tatu tena.

Simba tunadekezwa huo ndy ukweli.
Umepata wapi Mkuu muda wa Kumjibu huyo Tulatula ( Pumbavu ) tena kwa Ufafanuzi wako huu mzuri?

Watu kama hao ( huyo ) Mimi huwa nawadharau tu kwani nahisi nikiwajibu nakuwa napoteza muda wangu.

Hata hivyo Asante kwa Kunielimishia.

Cc: DullyJr
 
Spurs anacheza viporo?au anacheza mechi zilizo kwenye ratiba?
Ana kiporo na burnley cha tangu november,ana kiporo cha brighton ,pia na hizi zote bado hazijapangiwa tarehe....acheni mihemko,
Wacha ratiba zifuatwe then itakapoonekana inafaa viporo vitachezwa...
Nasisitiza muangalie kanuni zinazohusu postponed match na sio kukurupuka na kuleta mihemko ya matakwa yenu binafsi,hatufuati matakwa bali kanuni zinazoendesha soka.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Bado tu hujajigundua kuwa ni Tulatula?
 
Wanadhani kupangua rtb ni rhs.
Ukiacha mechi moja tu hadi ije iwekewe rtb sio jambo jepesi
Tulatula ( Mpumbavu ) ndiyo huwa na uwezo huu Finyu wa Kufikiri kama wako.

Simba imecheza Mechi tarehe 24 Desemba 2021 hivi ingecheza Mechi yake jana tarehe 28 Desemba 2021 na tarehe 1 January 2022 ikacheza na Azam kungeharibika nini?

Siku zingine mkijijua hamna Akili za Kujibizana nami kwa Mantiki ( Logic ) msiwe mnafungua Threads zangu ambazo nyingi huwa zinataka IQ Kubwa kuzichangia tofauti na 'Matulatula' wengi mnavyokurupuka.
 
Kiporo kimoja tu? Tushazoea Simba inakjwa na viporo mpaka vitano. Tulia, kitakiwa tu hicho kiporo
 
Hata mimi nimekuwa nikiwaza kama wewe juu ya hili ,wachezaji wanakaa siku hata 14 kwa nini wakati kuna mechi haijachezwa !? Ni heri wawe wanacheza tu ili kuzuia mrundikano wa mechi za viporo
 
Kawaida yetu tutatengeza viporo kama 5 alafu tutatathmini jinsi gani ya kuwaondoa Utopolo kileleni kwenye msimamo wa ligi
 
Back
Top Bottom