Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Mamlaka ya chakula na dawa Tanzanoa ( TFDA) kwa kushirikiana na baraza la Famasi, Ofisi ya Mganga mkuu manispaa ya Ilala imeteketeza dawa za aina mbalimbali zilizokamatwa katika maduka ya madawa ambazo hazifai kwa matumizi ya binadamu zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 11 zoezi lililofanyika katika dampo la pugu Kinyamwezi.