Wabongo kwa kusahau tu hatujambo!!!! nakumbuka huyu babu alikuwa anapigiwa chapuo sana na CCM + CHADEMA hata mzee Ndesamburo akawa anasafirisha wapiga kura wake kwenda kupata kikombe!! Politicians, CCM+CDM wakamfanya ni mtaji wa kisiasa. KKKT nao kupitia Askofu wao mkuu, wakataka kumfanya babu kuwa mtaji wa kiimani.....CCM na CDM wakishabikia upuuzi, nitawaelewa kwavile ndivyo wanasiasa walivyo, kila wakati wanatafuta pa kutokea hata kama tundu leyewe lina moto. Hata hivyo, nilimshangaa sana Askofu Laizer jinsi na yeye alivyokuwa anataka kumtumia babu kama mtaji wa kutafuta waumini....Wale waliopinga tiba za babu(including myself) wakaitwa wana chuki za kidini....eti wana wivu kv babu ni mkristo....pumbavu sana!