TFDA imeunda kikosi Maalum kuchunguza Mchele wa Plastiki

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
TFDA imeunda kikosi maalum ili kupata ukweli juu ya mchele unaodaiwa kutengenezwa kwa kutumia plastiki baada ya picha kusambaa mitandaoni.

Hatua hii imekuja baada ya kuhoji juu ya huu mchele unaodunda kama kitenesi. Siwachongei TFDA lakini ni kweli Mchele wa Plastic upo na unauzwa

Nashauri tuwape ushirikiano shirika letu pendwa pia tuwaelekeze waanzie wapi.

Ningefurahi kama wangetoa mawasiliano ya hiyo tume ili tuwaelekeze pa kuanzia. Asante sana Kwa usikivu wa TFDA. Na wengine waige mfano huo sio kila siku kudharau mitandao ya Kijamii.
 
Hatua nzuri sana hii, inaonesha ni jinsi gani wamezingatia malalamiko yetu walaji kwa mustakabali wa afya zetu...Hongera zao!!
 
Hatua nzuri!
Ila maajabu zaidi utakuta wale walioonekana wanalalamika kwenye hizo clip hawajitokezi kuwapa ushirikiano hao tfda
 
TFDA niwajinga sana. Hakuna kitu kinaitwa mchele wa plastic. Zile ni plastic granules zinazo tumika kama raw material yaku tengeneza plastic. Ingia YouTube andika( how raw materials for making plastic is made) au andika( how plastic granules is made) Au waende SIDO pale jet wataziona. Kiukweli Watanzania washamba sana. Kiss eti Mange Kimambi kasambaza video zakupotosha. Ingieni YouTube mjionee. TFDA mludi shule kidogo. How can you cook plastic. Boiling point ya plastic mnaijua TFDA kweli.?? It is real funny.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom