Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 672
Kweli jamani Whitedent nimeisha nunua fake kama mara mbili hv!
Bidhaa zote tunazotumia hazina ubora km wanavyosema!!!!!
Kweli jamani Whitedent nimeisha nunua fake kama mara mbili hv!
Nyie pigeni kelelee,mwenzenu mwanzo nilikuwa natumia MAJIVUGATE,baada ya kupanda bei nikaona nitumie MKAAGATE.
Mkemia mkuu -ni Marehemu Bibi Yangu
Mkaguzi Mkuu-alikuwa mwalimu wa Zamu alipokuwa akinisifia meno yako masafi kweli
Muuzaji mkuu-Wapishi
Msambazaji mkuu-Akili kumkichwa
Expire date zake-Mpaka chakula kingine kipikwe
Yan ni hatari! mm juzi nimezizoa shoprite kibao, inabidi nikirudi nikazichunguze vizuri.
dah bora umeongea asubuh napenda kunywa juyc kama nawahi sehemu lakini nikiwa sijala chochote baada ya kupiga mswaki nikanywa juyc yaan ladha ikawa hamna ilikuwa ya box so nikajua imearibika lakin ilikuwa bado according to expire date,,sikuimwaga then jion ikawa ina ladha,,kwa mara tatu mfululizo hali hiyo nikaipata lakini mimi natumia colgeti so nikafanya kautafiti kadogo nikagundua ukipiga mswaki unaharibu zile test bud kwa ile tooth brush pamoja na ile nguvu iliyowekwa kwenye dawa,lakini inakuwa kwa muda baadae unakuwa normal sidhani kama ni dawa ndo tatizo
mkuu ni kweli inapoteza ladha mdomoni sana, tatizo ni dawa maana ukitumia dawa nyingine uwa fresh kabisa,
sioni tatizo kwenye whitedent siwezi acha